Hivi TRA si Agent Kama Maagent wengine Tu

Akili Unazo!

JF-Expert Member
Feb 18, 2009
3,450
2,000
Wakuu,

To be honesty, TRA Officer siyo watalaam by Proffesional kama watalamu wengine. Hawa wanatekeleza Sera ya Uchumi na Baadhi ya Sera zinazo husu Kodi na Kutafsiri Nyaraka hizo.

Je Kwa nini TRA inaonekana ni Taasisi Nyeti ilihali ni wakala tu kama mawakala wengine? Ukiwaangalia kwa undani

  • Hawatungi Sera yoyote ya Kiuchumi
  • Watungi Sheria yoyote ya Kodi
  • Kazi yao ni Kutafsiri Nyaraka za Kiuchumi na za Kikodi kwa End users ( Tax Payer).

Miongoni mwa Taasisi ambayo itakuja kuvunjwa na kurudishwa ilipokuwa ni Pamoja na TRA.

Karibuni Tuchangie.
 
wilbald

JF-Expert Member
Dec 17, 2007
1,803
2,000
Wakuu,

To be honesty, TRA Officer siyo watalaam by Proffesional kama watalamu wengine. Hawa wanatekeleza Sera ya Uchumi 'na Baadhi ya Sera zinazo husu Kodi na Kutafsiri Nyaraka hizo.

Je Kwa nini TRA inaonekana ni Taasisi Nyeti ilihali ni wakala tu kama mawakala wengine? Ukiwaangalia kwa undani

  • Hawatungi Sera yoyote ya Kiuchumi
  • Watungi Sheria yoyote ya Kodi
  • Kazi yao ni Kutafsiri Nyaraka za Kiuchumi na za Kikodi kwa End users ( Tax Payer).

Miongoni mwa Taasisi ambayo itakuja kuvunjwa na kurudishwa ilipokuwa ni Pamoja na TRA.

Karibuni Tuchangie.
Mimi sijui ni kwa nini unawabeza hawa jamaa eti siyo maprofessional...ndiyo ni maprofessional haswa!nitakujibu kadiri nitakavyoendelea kukudadavulia hapa chini...
Kwanza serekali yoyote ina mashirika(corporations) na mamlaka(authorities) zinazoisaidia shughuli zake mbalimbali iwe ni biashara au kutoa huduma kwa wananchi wake.nianze na mashirika(corporations) haya mara nyingi hutoa huduma au nakufanya biashara wakati mwingine mfano shirika la utangazaji,nasaco,shirika la reli,tanescon.k. tuje kwenye mamlaka(authorities) hizi huisaidia serekali kupeleka huduma kwa wananchi au kukusanya tozo mbalimbali toka kwa wananchi kwenda serekalini,au kusimamia shughuli ambazo serekali ilipaswa kuzifanya kwa ajili ya wananchi wake..mfano..tra,ewura,mamlaka za maji n.k.
Sasa kwanini maprofessional! Ni kwamba hizi mamlaka na mashirika huajiri watu waeledi kuendana na aina ya shughuli/huduma hizi mamlaka au mashirika yanatoa mfano mamlaka za maji zitakuwa na mainjinia waliosomea mambo ya maji,tanesco mainjinia waliosomea umeme,ewura watu waliobobea kny viwango na vipimo,shirika la habari litakuwa limesheni wanahabari n.k hivyo kila sehemu husika sharti iwe na maprofessional ili kutoa huduma bora.
Na ndiyo maana tra utawakuta watu wenyeuelewa wa kodi zaidi na siyo waalimu au madakitari hawa nao ni maprofessional kwenye sehemu zao.
Nadhani umenielewa mkuu.
 
LIKE

JF-Expert Member
Dec 17, 2013
4,182
2,000
Nikisikiaga TRA huwa nakuwaga Mdogo kama nyota angani usiku...

TRA ni mamlaka kamili ya mapato Tanzania...agent ni kama 'max malipo' nk.
 
Akili Unazo!

JF-Expert Member
Feb 18, 2009
3,450
2,000
Nikisikiaga TRA huwa nakuwaga Mdogo kama nyota angani usiku...

TRA ni mamlaka kamili ya mapato Tanzania...agent ni kama 'max malipo' nk.

TRA japo wanajiita ni Mamlaka ya Mapato ila kiundani ni Mawakala wa ukusanyaji Kodi ikiwa ni pamoja na utoaji elimu wa mambo naa sera zilizotungwa na Taasisi Nyingine ambapo ni kitengo Muhimu BOT kinachohusiano na kuratibu na uangalizi wa mampo ya kodi Kwa Ujumla.

Na moja ya vitengo vitakavyorudishwa BOT ni Pamoja na TRA....
 
wilbald

JF-Expert Member
Dec 17, 2007
1,803
2,000
TRA japo wanajiita ni Mamlaka ya Mapato ila kiundani ni Mawakala wa ukusanyaji Kodi ikiwa ni pamoja na utoaji elimu wa mambo naa sera zilizotungwa na Taasisi Nyingine ambapo ni kitengo Muhimu BOT kinachohusiano na kuratibu na uangalizi wa mampo ya kodi Kwa Ujumla.

Na moja ya vitengo vitakavyorudishwa BOT ni Pamoja na TRA....
Hawa TRA siyo mawala nasisitiza ni mamlaka kubali tu...
Na huwa kny serekali yoyote hizi mamlaka huanzishwa kwa kupitishwa na bunge(legislature ) au monarch.
 
ZEE LA HEKIMA

JF-Expert Member
Aug 10, 2015
1,298
2,000
Wangekuwa ni mawakala wasingeruhusiwa kumkadiria mtu kodi ya kulipa na kukamata mali zake asipolipa. Ni mamlaka yenye mamlaka ya kukamata mali zako usipolipa inavyotakiwa. Ni professionals. Huwezi kuwa assessor (afisa mkadiriaji kodi) wao kama hujafaulu uhasibu
 
Handsome man

JF-Expert Member
May 6, 2017
899
1,000
Kuna utofauti mkuu wa kile wanachokifanya maagent na tra ni mamlaka kamili ya ukusanyaji mapato nchini, hao agent wsnategemea order kutoka tra kufanya kazi
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom