MPHINGU JF-Expert Member Oct 6, 2016 518 613 Jun 7, 2017 #1 wakuu nataraji muwazima, naomba anaejua namna ya kujiunga na kufurushi cha ZUKU TV cha shilingi 13000tz kinanchoitwa SMART PLUS, anisaidie
wakuu nataraji muwazima, naomba anaejua namna ya kujiunga na kufurushi cha ZUKU TV cha shilingi 13000tz kinanchoitwa SMART PLUS, anisaidie
M masare JF-Expert Member Oct 12, 2010 1,719 1,782 Jun 7, 2017 #2 duuh kwanini usiwapigie namba yao ya huduma kwa wateja wakusaidie
MPHINGU JF-Expert Member Oct 6, 2016 518 613 Jun 7, 2017 Thread starter #3 masare said: duuh kwanini usiwapigie namba yao ya huduma kwa wateja wakusaidie Click to expand... mkuu nawapigia simu lakini kompyuta ndio inayopokea simu na kunipa maelekezo mengine yasio muhimu kwangu, badala ya simu kupelawa na wahudumu wao
masare said: duuh kwanini usiwapigie namba yao ya huduma kwa wateja wakusaidie Click to expand... mkuu nawapigia simu lakini kompyuta ndio inayopokea simu na kunipa maelekezo mengine yasio muhimu kwangu, badala ya simu kupelawa na wahudumu wao