Tetesi: Kesho Magari kufanyiwa ukaguzi maalum yanayokwenda Mkoani Kilimanjaro siri imejificha

Mwanahabari Huru

JF-Expert Member
Mar 9, 2015
14,243
34,903
kuna Taarifa ambazo tunazifwatilia kuwa siku ya Kesho Mikoa ya kanda ya kaskazini hasa Arusha Kuna uwezekano mkubwa sana Magari yaendeyo mkoani Kilimanjaro kuzuiliwa kwa kigezo cha kufanyia uchunguzi wa kitalaam hii inawagusa watu kuwa nikutokana na watu wengi kwenda kumzika mzee Ndesamburo swali watu wanalojiuliza watakagua mpaka mavazi ya Chama?

sinema ni Nyingi kuliko TV

V-Wanda
 
wakague na yanayotoka:
(i) Tunduma-Mbeya-Moshi (kupitia Iringa-Dodoma),
(ii) Mwanza-Serengeti-Arusha,
(iii) Bukoba-Kahama-Singida-Katesh-Babati,
(iv) Kigoma-Tabora-Singida-Arusha,
(v) Tanga-Moshi,
(vi) Kisii-Narok-Namanga-Moshi,
(vii) Thika-Nairobi-Loitoktok-Tarakea-Moshi,
(viii) Kajiado-Namanga-Sanya juu-Moshi,
(ix)Arusha-Moshi,
(x) Karatu-Arusha-Moshi,
(xi) Mombasa-Voi-Holili-Moshi,
(xii) Mombasa-Lungalunga-Tanga-Moshi.
Kwa UFUPI, Wazuie mabasi na magari yoye Nchini kwa siku MBILI ili kupisha mvua kunyesha na Jua kuwaka..
 
Acheni kutafuta ya kujadili kiudaku, juzi mmetoka kupiga kelele eti polisi hawakucheki gari bovu leo mnatumia kiki ya msiba kudanganyana.

Magufuli 2020
 
Kwa UFUPI, Wazuie mabasi na magari yoye Nchini kwa siku MBILI ili kupisha mvua kunyesha na Jua kuwaka
 
wakague na yanayotoka:
(i) Tunduma-Mbeya-Moshi (kupitia Iringa-Dodoma),
(ii) Mwanza-Serengeti-Arusha,
(iii) Bukoba-Kahama-Singida-Katesh-Babati,
(iv) Kigoma-Tabora-Singida-Arusha,
(v) Tanga-Moshi,
(vi) Kisii-Narok-Namanga-Moshi,
(vii) Thika-Nairobi-Loitoktok-Tarakea-Moshi,
(viii) Kajiado-Namanga-Sanya juu-Moshi,
(ix)Arusha-Moshi,
(x) Karatu-Arusha-Moshi,
(xi) Mombasa-Voi-Holili-Moshi,
(xii) Mombasa-Lungalunga-Tanga-Moshi.
Kwa UFUPI, Wazuie mabasi na magari yoye Nchini kwa siku MBILI ili kupisha mvua kunyesha na Jua kuwaka..
Mkuu unatisha. Sio kwa mchanganuo huo.

Hayo ndiyo matatizo ya akili ndogo kuongoza akili kubwa.
 
Back
Top Bottom