Kaisari
JF-Expert Member
- Nov 13, 2012
- 3,636
- 3,042
Jamani naomba kujuzwa hivi lile tangazo la wenye vyeti fake waondoke wenyewe. Lilifanikiwa ? Jee watu waliondoka ??
Jee waliokaidi bado wapo ?? Kama wapo kuna hatua zimechukuliwa ??
Vipi mishahara imeendelea kutoka au hamna ???
Nijulisheni nisijekuwa nimebaki pekeyangu na mimi nisepe kesho.