Vitambulisho vimeokotwa ni vya mama Jane Josia Haule

dangadunguri

JF-Expert Member
Jul 31, 2015
1,276
1,307
Vitambulisho vimeokotwa ni vya mama Jane Josia Haule, ni mfanyakazi wa jwtz kwa mujibu wa kitambulisho cha kazi.

Kama kuna mtu anaweza kumfahamu amtaharifu and then aje pm nimuelekeze wapi atavipata.
Nimejaribu kupiga namba zilizopo kwenye kitambulisho cha bima hawapokei simu.

Kitambulisho cha kazi hakina namba za simu sio za mwenye kitambulisho au ofisi

Kitambulisho cha taifa the same
IMG_20170605_085852.jpg
 
Mm nipo kawe, nitavipeleka polisi kawe saa tisa nikitoka job. Kama akipatikana mapema aje jf sinauwezi wakuweka namba humu wala utambulisho wa ninakofanya kazi. Pm ndio njia bora yakumuelekeza aje wapi na akifika atavikuta getini
 
Hivi inakuwaje mtu mmoja huyo huyo anakuwa amezaliwa mwaka 1968 na 1969?? Refer kitambulisho cha kazi na kitambulisho cha bima? Kuna haja ya kufanya uhakiki kama ndio hivi.
haahahah mkuu....!!!
 
Jaribu kuvipeleka kikosi chochote cha jeshi la wananchi kilichopo karibu nawewe kwa kua huyo mwenye navyo ni mtumishi raia wa kikosi cha 521KJ wao watavifikisha katika hicho kikosi
 
...teh hee hee..huyu ni jipu!
.hata hiyo '68 moja kazaliwa January nyingine kazaliwa April,
.dadeki!

Nitatizo kubwa sana hili, sasa hivi unataka kusema mtu mzima kama huyu hajui tarehe yake ya kuzaliwa? Na wala sio mtu mzima sana 1968 tu hakumbuki mwezi na mwaka wa kuzaliwa?
 
Hivi inakuwaje mtu mmoja huyo huyo anakuwa amezaliwa mwaka 1968 na 1969?? Refer kitambulisho cha kazi na kitambulisho cha bima? Tarehe pia tofauti za kuzaliwa, angalia kitambulisho cha uraia. Kuna haja ya kufanya uhakiki kama ndio hivi.
Inawezekana muingizaji wa data ndiye aliyefanya makosa. Pengine ni vyema kuiacha hii kwa kuwa anayetakiwa kuhojiwa hawezi kujibu swali humu. Ni sawa na bunge kumjadili mtu asiye bungeni halafu kumuhukumu, wakati wenyewe huwa wanajipa fursa ya kujieleza
 
Jaribu kuvipeleka kikosi chochote cha jeshi la wananchi kilichopo karibu nawewe kwa kua huyo mwenye navyo ni mtumishi raia wa kikosi cha 521KJ wao watavifikisha katika hicho kikosi
Bora polisi isijekua huyo mama kafanyiwa vitu viovu jamaa akawa mbuzi wa sadaka
 
Inawezekana muingizaji wa data ndiye aliyefanya makosa. Pengine ni vyema kuiacha hii kwa kuwa anayetakiwa kuhojiwa hawezi kujibu swali humu. Ni sawa na bunge kumjadili mtu asiye bungeni halafu kumuhukumu, wakati wenyewe huwa wanajipa fursa ya kujieleza
Mkuu hiyo ni observation tu kutokana na vitambulisho vyake mwenyewe ambaye anavyo na kama vimekosewa angeamua kubadirisha.
 
Hivi inakuwaje mtu mmoja huyo huyo anakuwa amezaliwa mwaka 1968 na 1969?? Refer kitambulisho cha kazi na kitambulisho cha bima? Tarehe pia tofauti za kuzaliwa, angalia kitambulisho cha uraia. Kuna haja ya kufanya uhakiki kama ndio hivi.
Naona ameliamsha dude....
IMG_20170605_151554_991.jpg
 
Back
Top Bottom