mtafiti05
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 956
- 593
Hizi taarfa zmemshtua Dogo ambae ni mhanga aliepgiwa simu Mara 3 sasa, April 6, may 15 na may 31 2017, kuwa wanaopgia watu simu waliositishiwa ajira zao June 2016 mahakama kuwa ni watu wapo kazini?(matapeli) na sio simu za mahakama ya Rufaa? Wanauliza maswali yaleyale kutaka kujua Kama wapo tayr krd kazn,
Japo tar 15 may alipgiwa na mtu aliejtambulisha afsa utumishi akiuulza check no ya Dogo, akamwambia Hana check no walikua hawajapata kipnd wanasitishiwa, je hizi simu wengne mnaopgiwa mnazionaje? Kweli za mahakama rufaa? Awamu zote alizopgiwa ni no.tofauti, vodacom, tgo na simu ya mezani!
Tahadhali zichukuliwe hasa pale wanapohtaji vitu nyeti Kama check no. Muhimu mjilizishe kabla ya ktoa taarfa zenu kwa waajiri wenu kwa kuwapgia simu! Kama kuna mtu anauhakika na simu hizi ajuze wengne ila Kama utata basi umakini unatakiwa!