holy holm
JF-Expert Member
- May 6, 2017
- 4,792
- 9,079
Heshima kwako Mkuu
kuna jambo linanitatiza bro Mshana jr na napenda uweze kunisaidia kama unaweza kuwa unafaham
Hivi kuna ukweli wowote kuwa Watoto wachanga hua wanaona Wachawi a.k.a mawizard.. Maana kuna ma mdogo wangu ana kichanga chake sasa wakat wa usiku kakilia utasikia wanasema huyo kaona mchawi ndo maana analia
siyo mamdogo anae sema hivo bali hata watu wengine pia wanasema hivo.
Tafadhali nambie kama kweli hayo madai hua ni kweli au ni imani tu?
Kama pia wewe unajua unaweza nifahamisha
nawasilisha