Kiti cha Bunge kupwaya ndio chanzo cha fujo bungeni.

Mwene chungu

JF-Expert Member
Nov 12, 2016
915
752
Habari ya asubuhi wanajf.
images.jpeg

Kwa kifupi sana bunge la jamhuri ya Muungano wa Tanzania limekuwa linaenda ndivyo visivyo tangu alipoliachia marehemu Sitta.

images-1.jpeg

Kwa sasa linayumba zaidi kwa sababu mh.Ndugai anaonekana kuwa hafuati sheria na kuzidiwa na mhemuko na jaziba binfsi ( mkumbuke Ndugai hana moyo wa kuvumilia na kuhimili mikiki mikubwa).Na ndio maana aliwahi kupigana akiwa anatafta kura huko jimboni kwake.

Mtu kama huyu hawezi kutenda haki kwenye chombo kikubwa kama Mbunge.

Naibu nae ndio kabisa hawezi kwa sababu amepelekwa pale bungeni na mh.Rais hawezi kutenda haki kwa sababu, hofu yake haiwajibiki kwa wananchi bali kwa rais.
2X6A6747-1.jpg

Suruhu.
Kwanza kikubwa wabunge na uongozi wa bunge watenganishe siasa na uharisia.Najua ni kazi lakini wanatakiwa kwenye mambo yenye masirahi kitaifa waweke vyama vyao pembeni.Kama wanavyoungana kutetea posho zao basi tuwaone wakiungana kwenye mambo yote pia.

Speaker ajitahidi kuwa chanzo cha suruhu
na sio chanzo cha vurugu.
 
Back
Top Bottom