jiwekuu770
JF-Expert Member
- Feb 12, 2015
- 2,246
- 1,643
Huwa nasikitika sana ninapowaona waafrika wenye ngozi nyeusi waking'ang'ana ,kupigana na kubaguana kisa vitu na dini walizoleta wakoloni !!
Yaan huwa nataman kama Tuwaondoe au tuwafukuze wote waende kwa mamaster wao wakajue tunavosema hawa watu sio wenzetu tunamaanisha nn!!
Haya wenye mlengo wa Waarabu ..moneni hapa
Pia msijisahaulishe ndugu zetu watanzania mahousegal wanavouwawa huko!!
Brain washed watakataa....lakin kabla hujapinga ebu kawatembelee familia za waathirika wa ndugu zao waliofia uarabuni!!.
Big up to those freedom fighter
Big up to those holder of African culture and believers