Tofauti kati ya Komandoo na Ninja

mwanya2

Member
Jul 21, 2015
94
49
Jamani Mimi naomba kufahamishwa juu ya jambo hili, hivi kuna tofauti gani kati ya komandoo na ninja katika maswala ya kijeshi na kiutendaji Nazi?
 
f85089cc06153cb86b56e53fece833f9.jpg
John-Matrix-Commando-Schwarzenegger-e.jpg
 
Jamani Mimi naomba kufahamishwa juu ya jambo hili, hivi kuna tofauti gani kati ya komandoo na ninja katika maswala ya kijeshi na kiutendaji Nazi?
Mi nadhani ninja ni kama yule aliyevamiaga clouds usiku,
Lakn komandoo ni kama wale waliokuwaga wanakuja shuleni enzi hizo kuonyesha michezo na mazingaombwe.
 
commando ni mimtu iliyopokea mafunzo ya hali ya juu na ustadi mkubwa katika maswala ya kijeshi...ninja kwa upande mwingine ni watu waliopokea mafunzo mateule katika matunizi ya vifaa kama vile visu, swodi n.k na wana uwezo wa kujifanya wepesi sana hivi anaweza kujishikilia katika bua bila kulivunja..pia ninja humuoni kabisa maana ndio sheria..ukimuona wewe tayari utakufa maana lazima akuchinje..are we together??
 
Ninja ni mtu tu wa kitaa mwenye ako na mafunzo yasiyo rasimi kwa manufaa yake binfsi.na mara nyingi wanakuwa wanavaa vinguo maalum kuzuia uso maana muda mwingine wanashiriki kufanya maovu.

Komando,Anapitia mafunzo rasimi ya kijeshi kwa manufaa ya jeshi lake na taifa lake kwa ujmla.
 
Jamani Mimi naomba kufahamishwa juu ya jambo hili, hivi kuna tofauti gani kati ya komandoo na ninja katika maswala ya kijeshi na kiutendaji Nazi?

Ninja ni kama mrisho gambo
Na komando ni kama bashite halafu tofauti yao komando ana roho ngumu sana hata umkate vidole umwambie aonyeshe vyeti haonyeshi mpaka unamuua,ninja wao wanakuua ili waje kula rambirambi watakazopewa ndugu zako
Manjinja huishi arusha na makomandoo dar
 
Kama hujui ungetulia tu wajibu wanaojua.
 
Back
Top Bottom