Kwanini wakristo wengi hasa walokole wanaogopa kukaa na walevi wa pombe bar au vikao vya pombe?

mitale na midimu

JF-Expert Member
Aug 26, 2015
10,420
17,722
Najaribu kuwaza,
Yesu alikuwa anakaa kwenye hivi vijiwe hadi jamaa wakamuona ni mlevi...
Sio lazima muda wote mjitenge na jamii shirikini kwenye vikao vya pombe, hata kama ni bar na wewe hunywi kaa ubadikishane mawazo na wenzako hizo ndio zilikuwa tabia za kristo...

Kukwepa au kumkimbia mnywaji ni Imani haba...

Hapa tunazungumzia wale ambao pombe kwao ni haramu sio wale walioihalalisha...
 
Tokea nigundue kuwa almost 99% ya Walokole ni very hopeless sitaki / sipendi kupoteza muda wangu kuwajadili popote.
 
Mimi naona kuna tatizo hapa, watu wengi wanaoingia kwenye ulokole hawajui nini maana ya ulokole na hilo ndilo tatizo lao kubwa. Wanafikili kuwa ulokole ni kujitenga na jamii ya waovu. Kwa mujibu wa Biblia Kanisa ni watakatifu ambao tunaona ni walokole, kazi ya kanisa ni kuokoa wale wenye dhambi. Lkn cha kushangaza walokole wanawakimbia wenye dhambi sasa sijui wataokoa nn hawa wenzetu.
 
Najaribu kuwaza,
Yesu alikuwa anakaa kwenye hivi vijiwe hadi jamaa wakamuona ni mlevi...
Sio lazima muda wote mjitenge na jamii shirikini kwenye vikao vya pombe, hata kama ni bar na wewe hunywi kaa ubadikishane mawazo na wenzako hizo ndio zilikuwa tabia za kristo...

Kukwepa au kumkimbia mnywaji ni Imani haba...

Hapa tunazungumzia wale ambao pombe kwao ni haramu sio wale walioihalalisha...
acheni kuwadis walokole hao ndio wanaoiombea Tanzania mpaka leo ina amani
 
Najaribu kuwaza,
Yesu alikuwa anakaa kwenye hivi vijiwe hadi jamaa wakamuona ni mlevi...
Sio lazima muda wote mjitenge na jamii shirikini kwenye vikao vya pombe, hata kama ni bar na wewe hunywi kaa ubadikishane mawazo na wenzako hizo ndio zilikuwa tabia za kristo...

Kukwepa au kumkimbia mnywaji ni Imani haba...

Hapa tunazungumzia wale ambao pombe kwao ni haramu sio wale walioihalalisha...
Ushakaa nae analewa halafu anaanzisha vurugu anaanza kukupiga ww ulie karibu :D :D :D :D
 
Kwa hiyo, Tokeni kati yao, Mkatengwe nao, asema Bwana, Msiguse kitu kilicho kichafu, Nami nitawakaribisha.

Nitakuwa Baba kwenu, Nanyi mtakuwa kwangu wanangu wa kiume na wa kike, asema Bwana Mwenyezi.
2 Wakorintho 7:17-18
mathayo 11:19
Yesu muda mwingi alikuwa na hao tunaoambiwa tuwatenge.
Nadhani point ni kutoshiriki matendo yao unayodhani ni maovu lakini sio kutoshirikiana au kuongea au kujumuika nao.
Vinginevyo wapendwa wote watolewe duniani wapelekwe Jupiter mkuu
 
Tokea nigundue kuwa almost 99% ya Walokole ni very hopeless sitaki / sipendi kupoteza muda wangu kuwajadili popote.
"Aliyezaliwa na Mungu, Hatendi dhambi" hapa ndi unafiki unapoanzia...
Unakuta mtu anamchepuko au muongo balaa lakini ukimshtukiza anasema Hana na Tangu aokoke hajawahi kutenda dhambi... ili aendane na kasi ya hicho kifungu...
 
Kiufupi tu! Ni kuwa kuambatana na watu wenye tabia usizozitaka na zinazo kukera si vyema kbs!! So sioni kosa la walokole kutojichanganya kwa walevi.. Ni sawa na ww mwanaume unaweza jichanganya na kundi la mashoga ukawa nao close mnapiga story na kubadilishana mawazo? (Huu ni mfano tu coz najua tabia ya ushoga hauipendi na inakuchukiza)..
 
Back
Top Bottom