Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Hawa jamaa wako wap sasa maana wamejitangaza watkuwa hewani kuanzia june mos 2017 au swaga jamani au mm tu ndo sion nisaidien
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Sijawahi kuona Campaign yoyote ile inaanzishwa ama na Clouds tv au Clouds fm radio halafu isipate mashiko na kufanikiwa kwa kiasi kikubwa sana. Lakini cha kunishangaza kama hata siyo kunisikitisha...
7 Reactions
63 Replies
8K Views
Habari Wakuu! Binafsi natamani kujua nini kiini cha mauaji yanayoendelea kibiti kila kukicha. Pia nashindwa kuelewa na kuamini kwamba vyombo vyetu vya ulinzi na usalama kushindwa kutambua...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Habari wakuu, AzamTV wana kipindi cha michezo maarufu kama Mshikemshike ambacho kinaruka baada ya taarifa ya habari ambacho mara nyingi lazima nikivizie kutazama sababu at least kuna ka wigo ka...
1 Reactions
26 Replies
3K Views
  • Closed
Habari za Jumapili wadau, Imethibitika pasipo shaka kuwa Mwenyekiti wa chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA, Mhe Freeman Mbowe na mwanachama wake mpya Wema Sepetu wako katika penzi zito...
40 Reactions
1K Replies
179K Views
Unapowazungumzia vijana wa Kiafrika waliofariki dunia huku wakiacha utajiri mkubwa, basi hutaacha kulitaja jina la Mganda mmoja aliyekuwa akiishi Afrika Kusini (South), Ivan Ssemwaga (40) ‘Don...
1 Reactions
8 Replies
5K Views
Kumekuwa na tabia ya Waganga Wakuu wa Mkoa, yaani RMOs kuingilia majukumu ya Waganga Wafawidhi wa Hospitali za Mikoa , yaani MOi/c (Medical Officer incharge). RMOs wamekuwa wakisahau kwamba...
1 Reactions
1 Replies
8K Views
Katika kumbukumbu zangu msanii Tongolanga hakuwa wa hadhi ndogo kiasi cha msiba wake kudharaulika vile na viongozi haswaaa kisiasa wa Tanzania. Jamaa pamoja na kuwa ameimbia band nyingi lakini...
2 Reactions
5 Replies
2K Views
Kwa siku za karibuni,tumeshuhudia taharuki katika misiba mikubwa eneo hili. Kumekuwa na mivutano ya Kisiasa,Kivyama, Kiserikali na hata kijamii kuhusu taratibu za maandalizi,mazishi, na hata...
0 Reactions
44 Replies
4K Views
Nimepata taarifa za uhakika kabisa kuwa mtangazaji na mwandishi wa habari mkongwe wa RTD tangu miaka ya 1970 na baadae Radio One na ITV kwenye miaka ya 1990 Mzee Rochus Matipa amefariki dunia jana...
2 Reactions
7 Replies
2K Views
Dar es Salaam. Mahakama ya Hakimu Mkazi Kinondoni imemhukumu kifungo cha miaka 7 jela na kuchapwa viboko 12 mkazi wa Manzese, Ally Tox (19) baada ya kupatikana hatia ya unyang’anyi wa kutumia...
0 Reactions
1 Replies
939 Views
Wadau Naomba mwenye ujuzi wa namna ya kukagua TIN namba Kama inadaiwa anijuze
1 Reactions
3 Replies
6K Views
Nimekuwa nikikerwa sana na tabia ya mabouncer ama walinzi wa maeneo mbalimbali ya sehemu za starehe. Maeneo haya wengi wetu tunakwenda kujipumzisha na familia zetu ama wakati mwingine na marafiki...
5 Reactions
75 Replies
10K Views
KAMPUNI YA MAXCOM HAIJAWALIPA WAFANYAKAZI WAKE (CASHIERS) MISHAHARA YAO MWEZI WA PILI SASA NA WANAWAKATA MADENI ! SWALI KAMA HAUJAMLIPA MFANYAKAZI MSHAHARA WAKE MIEZI MIWILI UNATEGEMEA ATAFANYAJE...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Habari za wakati huu wakuu. Hili swala la TRA kulazimisha kulipishana kodi sasa imekuwa kero kwa kweli. Mimi nina fanya shughuli za clearing & forwarding sasa kuna mteja wangu huwa anaagiza hizi...
0 Reactions
2 Replies
960 Views
Hivi kuweka headrest DVD kwenye gari( car back seat playerTV) huwa inawekwa kwenye gari yoyote au kuna magari maalum naomba msaada wa kueleweshwa juu ya hili.
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Nimeona hii kazi yangu hainisaidii barabarani wala katika shughuli zangu zingine ambazo zinahitaji ulinzi. Lakini pia hii kazi yangu bana hainipi sauti kubwa mbele ya jamii wala heshima ya...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Watu 6 wanashikiliwa na Jeshi la Polisi Mkoani Manyara kwa kukutwa na nyama ya Pundamilia pamoja na Dawa za kulevya aina ya Bangi na Mirungi.
0 Reactions
5 Replies
4K Views
Timu ya taifa ya England maarufu kama Three Lions pichani inapata mafunzo ya uzalendo jeshini. Si vibaya na sisi tukaiga mafunzo haya ya uzalendo kwa timu zetu za taifa jeshini.
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Back
Top Bottom