Pole sana ukhtyUsitake wengine presha zipande mana tumejisahaulisha wewe unatukumbusha machungu.
Rejea swali hapo juu!
Umeshawahi jiuliza hili swali? Unajisikiaje unapoona umri wako hauendani na maendeleo yako..unajisikiaje unapoona vijana wadogo wamefanya mambo makubwa kuliko wewe?
mradi mkono uende kinywani?
CRITERIA ZIPO HURU..We jipime kulingana na hayo maswali then tupe mrejesho...no complications!!!kwani theory ya maendeleo kwa watu binafsi inasemaje? Main factors za maendeleo ya mtu binafsi ni zipi? Na maendeleo ya mtu binafsi yanapimwaje? Au maendeleo ya mtu binafsi maana yake ni nini? Hayo mambo makubwa ndio mambo gani na ukubwa wake unapimwaje?