Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Japokuwa sina historia ya kuogofya sana katika Imani, lakini hapo awali nami bila shaka nalikuwa kama wewe. Kwanza kabisa, ilifika nyakati nikadai hakuna Mungu. Nilijitengenezea Facts zangu zaidi...
13 Reactions
68 Replies
6K Views
Hivi unafahamu kuwa mzigo wa kodi anabebeshwa mwananchi wa kawaida ambaye ndiye mtumiaji wa mwisho wa bidhaa na kadri kodi zinavokua zinaongezwa katika sehemu tofaut tofaut na mzigo huo unakua...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
WANNE WAKAMATWA NA DAWA ZA KULEVYA JIJINI MWANZA Mnamo tarehe 07/06/2017 majira ya saa 11 alfajiri katika mtaa wa Mbugani “A” kata ya Mbugani wilaya ya nyamagana mkoani Mwanza, askari wakiwa...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Habari zenu wana Jf. Mini ni mtumiaji mpya wa jamii forum ila nina jambo moja linanichanganya na kama kuna mwenye kulijua hili naomba kuelimishwa. Nimekuwa nikisoma habari nyingi kuhusu hawa watu...
0 Reactions
5 Replies
11K Views
Chama cha Demokrasia na maendeleo CHADEMA kupitia Mwanasheria Mkuu wa Chama hicho Tundu Lissu wanatarajia kufungua shauri Mahakama Kuu ili kuitaka ieleze kama bunge lina mamlaka ya kumuadhibu...
2 Reactions
10 Replies
1K Views
Wakuu kuna kipindi nilikuwa nakutana na hayo maandishi,IRINGA NDIO MASKANI,nimeamua nianzishe huu uzi ili tuweze kupashana mambo ya mkoa wetu,ingawa wengine tulizaliwa na kukulia mbali,but damu...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Wakuu. kuna jambo linatia shaka kuhusu RL hivi hii ipo kwa manufaa ya nani? kama ipo kwa ajili yetu.ili kuliongezea taifa pato mbona inapotoshwa makusudi? Hivi ni kweli wahusika hawaoni kuwa...
0 Reactions
3 Replies
884 Views
kuna hii hali ya vituo vingi vya afya kulazimisha wamama wajawazito wanapoanza clinic kwenda na waume zao.eti kama hutaki hupati huduma je kama nimebakwa? kwani wote wenye mimba wameolewa ? huu...
3 Reactions
57 Replies
8K Views
Watu wawili wanaosadikiwa kuwa ni madereva bodaboda wa mjini Kahama wamekutwa wakiwa wamekufa katika Shamba la miti linalomilikiwa na mkulima, Marco Nkuli katika eneo la Nyakato wilayani Kahama...
0 Reactions
14 Replies
4K Views
EWURA imepokea maombi ya IPTL kuongeza mda wa leseni kwa miezi 55, kuanzia tarehe 16 Januari 2017 hadi 15 Julai 2022. Naomba ieleweke kwamba leseni ya kuzalisha umeme hutolewa na EWURA kulingana...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari wakuu? Kwa muda mrefu humu JF kila kila nikirefresh katika ukumbi wa New post threads za mwanzo kutokea ni ile ya makapuku na ile ya kubet, je hii inamaanisha waTanzania wengi ni...
0 Reactions
23 Replies
3K Views
Dar es Salaam. Makamu wa Rais, Samia Suluhu amesema kamwe Serikali haitagawa chakula kwa wananchi wavivu ambao hawataki kufanya kazi na kusubiri chakula kutoka serikalini. Samia ametoa kauli hiyo...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Naunga mkono kauli ya Mh. Magufuli wakati akimwapisha kamanda sirro ya kuwa afanye 'total overhaul' ya jeshi la polisi. Kwa kusema hivyo naamini pia alikuwa anamaanisha jeshi lifanye kazi kwa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kumeibuka tabia sasa waendesha BAJAJI wana-park bajaji zao barabarani hasa sehemu zenye vituo vya mwendokasi (mfano hapa Kimara Korogwe). Matokeo yake bajaji zinasababisha gari zitumie njia moja...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kuna Kampeni moja ambayo naweza kusema ni ya Kipuuzi / Kiupupu inayoendelea katika Shule ambayo ni ya kuwasaidia Wadogo zetu wa Kike kwa kuwapa Taulo zao za Kike ( Sanitary Pads / Sanitary Towels...
9 Reactions
36 Replies
4K Views
Wakuu kama nyota hapo inapojieleza mimi pia nimezaliwa kati ya miezi hiyo....Inawezekana kweli sijatoboa kisawasawa kwa kutokuwa na tabia ya kuhonga.....!!! Tuliozaliwa kati ya hiyo miezi vipi...
0 Reactions
7 Replies
6K Views
Narudia hii ni hatari sana,inaweza kufunga watu jela waio na hatia,kuvunja ndoa na kubwa zaid kufunga wanasiasa kama kawaida ilivyo kwa nchi za Kiafrika Mimi kiukweli sina Imani na nchi yetu...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Mtafiti mmoja huko Massachusetts Marekani ya Kaskazini ( jina lake limehifadhiwa ili kumlinda kutoka kwa wale ambao watapovuka na utafiti wake huu ) ambaye ni Mtaalam pia wa masuala mazima ya...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Mamlaka ya udhibiti wa Huduma za nishati na maji -EWURA imetangaza ongezeko la bei za Mafuta ya Diesel na Petroli kuanzia 7 Juni 2017. Kauli hiyo imetolewa na Meneja uhusiano wa Ewura Titus Kaguo...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Huu ni ukosefu wa umakini kwa chombo husika, kuna makosa ya kibinadamu na makosa ya kimtandao kwa vyombo vyote viwili baraza la mitihani na TAMISEMI. Kwanini hawataki kuchukua jukumu la kubeba...
0 Reactions
2 Replies
991 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…