TANGAZO USIKU HUU:

forest zone

JF-Expert Member
Jun 10, 2017
253
227
Habali ndugu na jamaa? Usiku huu npo kakola kahama kuna tangazo lina tangazwa usiku huu likisema.

"tangazo tangazo kesho hakuna kufungua biasha yoyote watu ote msikilize report ya makinikia inayo kabiziwa kwa raisi"mwsho wakunukuu,tupeane taarifa vipi huko uliko wewe napo pana pigwa promo kama hii?
 
Mkuu ni Kweli unachosema? Hebu tafuta ka clip ka ushahidi kdg, manake mi ka Siamini hivi.
 
Keamba ndio watawarudishia ardhi yao waliowapokonya nakuearudisha watu waliokufa na watu waliopata vilema kahama mbururaz
 
Sasa ripoti ya makinikia na biashara za watu zinazowaingizia kipato wapi na wapi? au mleta mada ndio kaamu tu atoe tangazo lake kiaina
 
Hivi si tuliambiwa kuwa wamezuia Bunge Live ili watu wachape kazi muda huo?

Sasa inawezekanaje kesho asubuhi muda wa kazi watu walazimishwe waache kazi ili eti wasikilize report part 2 ya Makanikia?

Kwani hao TBC si wanaweza tu kurekodi hilo tukio na baadaye usiku watu tukaliangalia likiwa recorded, kama wananchi tulivyolamishwa katika suala la Bunge Live?

Kweli ukistaajabu ya Musa utayaona ya Firauni.....

Kama ni kweli unayosema, basi haya yanayofanywa na serikali ya awamu ya 5 naweza kuyafananisha na mazingaombwe!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom