Waungwana naamini mko salaam,
Kama kichwa cha habari kinavyojielezea kiufupi me napendelea sana kusikiliza radio zinazotangaza kwa kingereza
Nilikuwa napendelea sana BBC INTERNATIONAL ila siku izi wamekuwa ovyooo music muda wote taarifa muda mchache nikahamia TBC INTERNATIONAL hawa walichoniboa ni ENGLISH MBOVU haa mpka najiuliza walipitaje interview au ndo wale wanapataga A lakini kujielezea hawawezi hasa wanaume yani it's boaring utadhani wanaongea kichaga yani hata wakipokea simu mtangazaji anaongea utadhani mwanafunzi au wako field?
KISS FM na CHOICE FM wako vizuri kweli ila nao music Sanaa.
TBC acheni ubabaishaji tafuteni watu wenye uwezo wa kuadress issue kama hajui english mpelekeni kule kwa kiswahili.
NB: Ras Simba ada zake ni kubwa wangine ndo tunajifunzia huku.