ketete
JF-Expert Member
- Sep 22, 2016
- 792
- 795
Samahani Sana wanajamii wenzangu ,hivi karibuni tumeona namna ambavyo raisi ameteua kamati mbili katika uchunguzi was mchanga was dhahabu maarufu kama makinikia na tayari kamati ya kwanza imekwisha toa taarifa yake.
Ninataka kujua mambo yafuatayo:
1.kwa kuwa mikataba yote inayofungwa ni siri, je, hizo kamati zinapewaje kupitia mikataba hiyo?
2.na kama hazipewi hiyo mikataba zinalinganishaje majibu yake na vifungu vya kimkataba?
3.na je,kuna haja gani ya serikali kusaini mikataba kwa siri na kuja kulalamika kwa wananchi ambao hata bunge lao halijawajibika kupitisha hiyo mikataba?
4.je,ni kwanini mawaziri na wanasheria ambao walihusika na mikataba mibovu hawajachukuliwa sheria ikiwa ni pamoja na kupelekwa mahakamani?
5.nimemsikia mwigulu nchemba kuhusu tundu lisu je,yeye mwigulu nchemba hana uwezo wa kuwashitaki wezi wetu hao?
Mimi sio mwanasheria Ila no mwananchi ninayetaka kujua nini hatma ya mikataba iliyoko kwenye chungu na kila kukicha inaendelea kutekelezwa?
Naombeni mawazo yenu ili tuisaidie jamii na nchi yetu