Je Tutafika? Ya channel 10

McFerson

JF-Expert Member
Jan 8, 2015
1,821
2,000
Habar za muda huu wanajamvi,

Nmekuwa napitia mjadala wa je tutafika? Ya channel tajwa hapo juu ila hicho kipindi sizielewi mada zake.
Kwanza napenda anayeelewa mada za huyo mzee anayeongoza kipindi, anieleweshe huyo mzee ni nani kitaaluma, kisiasa na kijamii .
Nimeomba msaada huo kwa jinsi anavyoongoza kipindi yaani anakaribisha wataalamu halafu yeye ndie wa kutoa conclusions kila mada na haeleweki,
Msaada tafadhali kwa anaemuelewa mada zake
 

mpenda arage

JF-Expert Member
Nov 10, 2015
1,380
2,000
Makwaiya wa kuhenga! Anaongea kilevilevi!! Ni mwandishi wa habari kama sikosei. Nilikuwa nasoma sana Makala zake kwenye gazeti la mwananchi zamaniiii!!
 

McFerson

JF-Expert Member
Jan 8, 2015
1,821
2,000
Makwaiya wa kuhenga! Anaongea kilevilevi!! Ni mwandishi wa habari kama sikosei. Nilikuwa nasoma sana Makala zake kwenye gazeti la mwananchi zamaniiii!!
Nashukuru kiongozi, ngoja nifuatilie hizo makala huenda nikamfahamu zaidi
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom