Wanamuziki na bongo movie muoe na kuolewa

mdundo ngoma sana

JF-Expert Member
Jan 2, 2016
1,002
2,000
Kuna watu wanahisi hawatazeeka,kutwa kubadilisha mabwana leo yupo na huyu kesho yule.tambueni,ukimwi upo,kifo kipo,na uzee huu hapa.kubadilisha mabwana na wanawake jua utanasa tu,hata uvae vipi kondom
 

SHAMAC

JF-Expert Member
Feb 9, 2017
1,345
2,000
Nini kimekuuma kuhangaisha vidole vyako kwa ajili ya hili tu..?? Au umemchumbia star wa bongo movie kakukataa..??
 

Zanzibar Spices

JF-Expert Member
Jul 14, 2013
7,403
2,000
Wapimwe yafuatayo kwanza,
-Ukimwi
-Uzazi kama bado upo
-Cancer ya kizazi
-Kubwa zaidi kupimwa Akili

-
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom