meningitis
JF-Expert Member
- Nov 17, 2010
- 8,394
- 4,748
Nashauri chombo hiki cha kitaifa kigute makosa yake kwa kutuletea special coverage ya kupokelewa kwa ripoti ya kamati ya wachumi na wanasheria ambayo iitatuonesha ni kwa kiasi gani nchi imeibiwa.
Ningependa kuona matangazo ya maandalizi na chambuzi mbalimbali kuhusiana na madini,mikataba yake na mustakabali wa Taifa kuanzia hiyo kesho.
TBC iwaalike wataalamu wa uchumi na sheria waliobobea na wenye uzalendo wa kweli na sio vibaraka walionunuliwa na wezi.
TBC ianze upya kwa kutuletea mwanzo mpya kwenye sakata la madini.
Ikiwezekana TBC iwaalike wanamazingira ambao pia watagusia athari za kimazingira ziambatanazo na uchimbaji wa madini.