South
JF-Expert Member
- Jan 11, 2016
- 3,514
- 5,139
Habari wakuu natumai juma pili ilikua tulivu kwenu. Turudi kwenye maada, kama tujuavyo katiba yetu hii tuliyoachiwa na mkoloni ilivyo na madudu hasa kwa kumpa nguvu kubwa raisi. Pia kumpa kinga ya kutoshitakiwa endapo atakua kamaliza madaraka yake hata kama alifanya makosa.
Ikitokea tukafanikiwa kuifumua na kuirekebisha upya hasa kwa kuondoa kile kipengele cha kinga ya kutoshitakiwa, je tutakua na marais wastaafu wafungwa au tutasahau yaliyopita? Maana hakuna rais atakaye salimika kwani wote ni watuhumiwa kwa madudu waliyoyafanya zama zao japo hiyo kinga yao ndo inayo block kushitakiwa kwao.