mdundo ngoma sana
JF-Expert Member
- Jan 2, 2016
- 1,002
- 955
Kusameheana tulipokwazana ni jambo la kheri.duniani tunapita wapo wengi waliotangulia mbele za haki kabla yetu.Nawaombeni enyi waandishi wahabari.mjadilini jinsi ya kumsamehe na kuonyesha ukomavu kwa taaluma yenu.Kama kujifunza tayari amejifunza.