Shehe Mkuu wa Mkoa wa Kigoma Alhaj Shehe Tafiq Ibrahim Malilo amefariki dunia usiku wa kuamkia leo

tramadol

JF-Expert Member
Oct 10, 2015
5,383
4,323
Shehe Mkuu wa Mkoa wa Kigoma amefariki dunia Jana saa mbili usiku nyumbani kwake Buzebazeba Ujiji Kigoma.

Kaimu Shehe wa Mkoa Alhaj Shehe Hassan Kiburwa amedhibitisha kutoka kwa kifo hicho

Taarifa iliyotolewa na mtoto wa marehemu Said Tafiq Malilo ni kuwa Alhaji Shehe Tafiq Ibrahim Malilo amefariki kutokana na ugonjwa wa kisukari ulimsumbua kwa miaka zaidi ya 6 na amefariki akiwa na miaka 75

Mazishi yatafanyika leo saa 10 alasiri Buzebazeba Ujiji Kigoma.

Chanzo:TBC Taifa Redio.
 
Apumzike kwa Amani japo nilikuwa simfahamu. Innalillahi wainnailayhi rajiuun

Kichwani ikanijia kwanini asingetangulia yule wa DSM
 
Back
Top Bottom