Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Kama ni mtumishi wa Mungu aache majungu na udhalilishaji maana Mungu wetu hayupo hivyo Pia ni mwongo tena mzushi Chukua hatua mtanzania mwenzangu
5 Reactions
55 Replies
5K Views
.......
4 Reactions
211 Replies
50K Views
Nimechoka kuombwa ombwa. Mara pikipki, mara Gari mara wanikope pesa kote huko nashindwa kukataa. Natoa huku roho inauma. Mafuta niweke Mimi, pikipki waendeshe wao! Aaaarrrrggggg nipeni dawa...
2 Reactions
45 Replies
4K Views
US naval warships arrive in Qatar for military exercise Two US Navy vessels arrived in Doha to take part in a joint military exercise with the Qatari Emiri Navy just days after US President...
0 Reactions
1 Replies
830 Views
Habari WanaJF, Sema Tanzania kwa ushirikiano mkubwa na JamiiForums, tunapenda kuwaletea taarifa hii nzuri kwa wakazi wa Jiji la Dar es salaam. #SikuYaMtoto inafanyika tena kwa mara ya pili...
6 Reactions
45 Replies
10K Views
Haya watanzania wenzangu mabingwa wa kushangilia na wepesi wa kusahau!!!mwizi anakuja unamkaribisha unampa chai anakwambia atakulipa alichoiba kiasi gani,lini,wapi na kwenye acc.hipi until further...
0 Reactions
2 Replies
993 Views
Habari zenu wana JF... Kama kuna viumbe hai viovu na vibaya duniani binadamu atakuwa namba moja. Maisha yangu yote nilikuwa sijafahamu vizuri tabia na mienendo ya binadamu. Japo sina uhakika...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Wauguzi wawili wa Hospitali ya wilaya ya Manyoni mkoni Singida wamesimamishwa kazi,baada ya kumwachia mtoto wa miezi minne kamba kwa muda wa zaidi ya masaa nane ,ambayo waliifunga mkononi kwaajili...
2 Reactions
33 Replies
6K Views
Myths za mnyama Paka ni nyingi Kwamfano sijawahi kumwona paka aliyekufa kifo cha kawaida(ukiacha wale wanaogongwa na magari barabarani) -Nasikia Paka unayemfuga huwa anatoweka tu ghafla baada ya...
2 Reactions
63 Replies
42K Views
Muziki ni dawa ya kupata amani ya roho kwenye hali ya mtanziko, binafsi napenda sana kusikiliza muziki mpya hasa hasa wa kispanish ambao huko slow and easy na nitaweka hapa baadhi ya akiba ya...
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Binafsi sina ushirika, Ukaribu wala uhusiano wa namna yoyote na Mtanzania Tundu Lisu. Mwana sheria mahiri makini na mwenye kofia kadhaa za Kitaaluma, Kisiasa, Kiharakati na nathubutu kusema raia...
4 Reactions
13 Replies
2K Views
Nisaadieni, watu wa umeme vijijini wameweka nguzo ya umeme Mita 5 kutoka kwenye nyumba. Je ni sawa? Je standard ya nguzo ya umeme inabidi iwe mita Ngapi kutoka eneo husika?
1 Reactions
13 Replies
4K Views
Wakuu naombeni mnijuze nitapataje laini ya chuo ya TTCL maana mimi sina kitambulisho na sio mwanachuo. Jamaa laini zao wanabando na kasi nzuri. Je nitaipataje jamani, mwenye kunisaidia maana hawa...
1 Reactions
11 Replies
3K Views
Heshima mbele wadau. Naomba kupata mawasiliano kwa maana ya namba ya simu ya Kowak Girls Secondary School na Ikizu Secondary School. nisaidie kupata namba hizo nijaribu kupata nafasi ya uhamisho...
0 Reactions
2 Replies
5K Views
MWENYEKITI wa Kitongoji cha Ituunyi, Kata ya Masama Mashariki, Wilaya ya Hai, Wariading’u Anasa, ameiteketeza nyumba yake kwa moto wa mafuta ya petroli, baada ya mkewe kuchelewa kumfungulia...
0 Reactions
33 Replies
6K Views
Habari. Kwa ufupi kabisa niseme tu binafsi nilifika Dsm miaka 6 nyuma nilizikuta na kuzifahamu products kutoka kwa Barharesa almaarufu Azam tu, huku Mo akiwa anatetea taaratibu,ila kwa sasa...
5 Reactions
67 Replies
55K Views
Kinachoendelea bungeni katika bunge LA bajeti wanajijua ccm wenyewe maaana hakuna utetezi wowote juu ya maslahi ya wafanyakazi kazi kushangilia kila jambo Mungu anawaona
1 Reactions
4 Replies
836 Views
Kusema Ukweli Kwa Jinsi tunavyopingana sisi kwa Sisi, Yaani Wasomi Kwa wasomi, Layman kwa Layman, Viongozi kwa Viongozi, Hata Wazungu Wanatushanga Kuwa ni Watu Gani Ambao Wasogoana kwa Vitu...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
wakuu katika kuendelea na utekelezaji wa azimio la wahariri, leo nijaribu kubadili channel ile tarifa ya habari na kuweka star tv ajabu nikakuta wanarusha habari ya huyu Bashite, yaani kumbe hiki...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…