Hapo kale kule kijijini mtu alikuwavakipiga yowe basi ujue kuna Shida pahala. .yowe lilimaanisha mwaliko wa kuomba msaada kwenye dharura fulani..
Kama ni jambo la jumuiya baragumu ngoma zumari...
Habari wana jf,
Nina tatizo kidogo jinsi ya kulipa mkopo wa kampuni tajwa hapo huu.Kampuni ya branch.Nilichukua mkopo sasa nashindwa jinsi ya kufanya malipo ya mkopo huu na ni Mara ya kwanza...
Licha ya zaidi ya Sh100 milioni kukutwa zikiwa zimehifadhiwa ndani ya nyumba iliyopo Mtaa wa Lumumba jijini Mwanza, Kikosi cha Zimamoto na Uokoaji kililazimika kutumia lita 39,000 za maji...
Wana jamvi poleni Na mihangaiko ya siku.
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, nimeona niulize hili swali nipate mawazo tofauti ambayo yatanijenga kwa namna moja au nyingine!
Kuna mitazamo...
Najiuliza hivi mtu akituhumiwa halafu akatunisha misuli dhidi ya mwenyekiti wa chama si ni kama anajiandaa eidha kuhama au kuanzisha chama chake.
Nakumbuka enzi za MM, MM1, MM3 kuna mtu alivuliwa...
Mtangazaji wa kwanza Mwanamke BBC Swahili TV Nimependa Sauti yake na utangazaji wake kwenye TV na Redio safi sana. Kwa hakika BBC swahili Hawajakosea kumpa kutangaza kwenye Television mpaka raha.
Dakika kumi zilizopita nimetoka kumaliza kusoma kitabu cha the greatest missions of Israel secret service(Mossad) na kupata madini joto ya agents wa Mossad wanaivyoipigania nchi yao kwa hali na...
Jaman ndugu zang watanzania jana kijiji flani kama una elekea tabora kuna majambaz yali vamia nawalikuwa wana bunduki na risasi silipigwa sana .......huku tunako kwenda...
Wakuu tangu haya mambo ya mchanga wa madini yalivyoanza ku-make headlines kwenye vyombo vya habari nimeona namna serekali inavyojitahidi kutaka kutengeneza taifa la kujitegemea kwa maana ya kuwa...
Kati ya vitu vilivonivutia mwaka huu ni kuwa mtaalamu na gwiji wa kuchenjua makinikia. Naimani sipo mwenyewe. Tena nilivoskia na limtambo litajengwa nchini ndokabisaa akili imekimbilia kwenye...
kitu nilichojifunza maisha usije ukamsadia mtu kwa moyo wako wote ukitegemea kuna siku nawewe atakuja kukusaidia,hakuna icho asee yani kuna binadamu zaidi ya kumi nimewasaidia sasa wana maisha...
Anaaandika Wakili Msomi Peter Kibatala.
A parable;
Mkulima alikuwa na ghala la kuhifadhia nafaka, ghala lilikuwa limejaa nafaka.
Siku moja akamuona panya akiingia ghalani; akatahayari sana na...
Mzee Mgona Hazeru wa Kijiji cha Mvomero wilaya ya Mvomero mkoani Morogoro amemuomba Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Magufuli kumsadia kupata haki yake ya fedha zaidi ya shilingi...
Kibaya zaidi magufuli ameshajua utamu wa hiki kipendele cha kutokushitaki rais akiwa madarakani. Atakitumia ipasavyo!!
Hapo tayari ameshawalazimisha wanasheria wasaini mikataba ya bormberdier na...
Eti tunajivuna tumeweza wakati tuna shule za miti na wanafunzi 743 tujitafakari tunapeleka wapi elimu.
Ni shule ya Msingi Machiga "B" katika kijiji cha Pachani wilaya ya Nanyumbu Mtwara. Shule...