Chadema mmeikosea sana Nchi,laana kubwa hii

ZE NDINDINDI

JF-Expert Member
Sep 19, 2016
1,890
2,000
Dakika kumi zilizopita nimetoka kumaliza kusoma kitabu cha the greatest missions of Israel secret service(Mossad) na kupata madini joto ya agents wa Mossad wanaivyoipigania nchi yao kwa hali na mali,lakini kabla ya hapo last week nilimaliza kusoma pia kitabu kuhusu wapiga deal wasio na huruma,wazee wa lobbying kinaitwa The Iron triangle,Inside the secret world of the Carlyle group.watu hatari kabisa hawa huko unamkuta hadi yule mwanaume wa Barrick aliyetutembelea juzi maana kabla ya kwenda Barrick alishawahi kuwa chairman wa Goldman sachs na njemba moja iliyoratibu mauaji ya patrice lumumba na kumsimika Mobutu kisha kuishia kui loot nchi ya Congo hadi leo iitwayo Frank Carlucci (Spooky Frank)Ex CIA.
Anyway back to the topic ,sasa kitabu kuhusu Mossad na ki relate na chama cha mapinduzi chini ya ma comrade wake wazalendo wakati hicho cha Carlyle group kinahusiana kabisa na chadema
Embu fikiria in 1994 bila ruhusa ya Rais,waziri wa nishati aitwaye Edwin Mtei alisaini mkataba wa kuuza migodi
Kuna mwanasheria mkuu pia mwana chadema aitwaye Bob Makani alishiriki karibu mikataba yote hiyo mibovu
Baadaye mawaziri wengine na wanasheria hao kutoka chadema kwa majina yafuatayo kwa nyakati tofauti waliingia mikataba hiyo ya kibashite,nao ni Freeman Mbowe,Peter Kibatala,Chacha wangwe.
Ndugu zangu watanzania inauma sana hata kuendelea kuelezea jinsi Chadema walivyoibaka nchi kupitia hii mikataba na mbaya zaidi hawa jamaa waliingia mikataba bila kushauriana na baraza la mawaziri wala Marais waliokuwa madarakani
Inauma sana jamani,leo chama cha mapinduzi kinatetea wananchi dhidi ya hii mikataba mibovu halafu wana chadema wanatetea wezi hao wa Accasia ambao hata kampuni yao haijasajiliwa
Inauma sana,Hivi Watanzania nani katuloga lakini??
 
Rubajirwa

JF-Expert Member
Apr 15, 2017
474
250
Chadema wanataka tuendelew kuwaabudu wazungu tunahitaji kuwa na taifa linalojitegemea kiuchumi na kisiasa
 
tamuuuuu

JF-Expert Member
Mar 10, 2014
14,506
2,000
Ccm ndo ilaaniwe mpaka kiama,kwa waliyowatendea watanzania.
Wanaishi maisha ya kusadikika,kifukara na kinyama.

"LOOK AT YOU,YOU ARE WORST THAN ANIMALS"

Nawaambia watanzania,
Tume huru idaiwe mapema ccm itoke vinginevyo watanzania mtapata tabu sana.
 
wasumu

JF-Expert Member
Oct 28, 2015
1,982
2,000
Dakika kumi zilizopita nimetoka kumaliza kusoma kitabu cha the greatest missions of Israel secret service(Mossad) na kupata madini joto ya agents wa Mossad wanaivyoipigania nchi yao kwa hali na mali,lakini kabla ya hapo last week nilimaliza kusoma pia kitabu kuhusu wapiga deal wasio na huruma,wazee wa lobbying kinaitwa The Iron triangle,Inside the secret world of the Carlyle group.watu hatari kabisa hawa huko unamkuta hadi yule mwanaume wa Barrick aliyetutembelea juzi maana kabla ya kwenda Barrick alishawahi kuwa chairman wa Goldman sachs na njemba moja iliyoratibu mauaji ya patrice lumumba na kumsimika Mobutu kisha kuishia kui loot nchi ya Congo hadi leo iitwayo Frank Carlucci (Spooky Frank)Ex CIA.
Anyway back to the topic ,sasa kitabu kuhusu Mossad na ki relate na chama cha mapinduzi chini ya ma comrade wake wazalendo wakati hicho cha Carlyle group kinahusiana kabisa na chadema
Embu fikiria in 1994 bila ruhusa ya Rais,waziri wa nishati aitwaye Edwin Mtei alisaini mkataba wa kuuza migodi
Kuna mwanasheria mkuu pia mwana chadema aitwaye Bob Makani alishiriki karibu mikataba yote hiyo mibovu
Baadaye mawaziri wengine na wanasheria hao kutoka chadema kwa majina yafuatayo kwa nyakati tofauti waliingia mikataba hiyo ya kibashite,nao ni Freeman Mbowe,Peter Kibatala,Chacha wangwe.
Ndugu zangu watanzania inauma sana hata kuendelea kuelezea jinsi Chadema walivyoibaka nchi kupitia hii mikataba na mbaya zaidi hawa jamaa waliingia mikataba bila kushauriana na baraza la mawaziri wala Marais waliokuwa madarakani
Inauma sana jamani,leo chama cha mapinduzi kinatetea wananchi dhidi ya hii mikataba mibovu halafu wana chadema wanatetea wezi hao wa Accasia ambao hata kampuni yao haijasajiliwa
Inauma sana,Hivi Watanzania nani katuloga lakini??
Laana ya rambi rambi et
 
WilliK10

JF-Expert Member
Jul 22, 2016
601
500

Mimi nadhani wa kulaaniwa ni hawa waliosaini mikataba kichefuchefu! Unanielewa sijui?
 
jay v

Member
Jun 11, 2017
36
125

WE NI MIONGONI MWA WAZEE WASIOKUWA NA ELIMU WANAOISAPOTI CCM KWA MUJIBU WA RIPOTI YA TWAWEZA
 
South

JF-Expert Member
Jan 11, 2016
3,494
2,000
Umesahau kwamba wamekula na rambi rambi, hawa watu wana laana.
 
mwmbeki

Member
Apr 8, 2017
92
150
Huo ujinga ndo unmetoa kwenye kitab??ulivyoanza nkafkr una hoja za msing kumbe pumba tu hujui hata ktu!!
 
Ngushi

JF-Expert Member
Jul 8, 2016
9,080
2,000
Au wewe Ndio wale wanawake wa vijijini mliotajwa na twaweza leo kama bado mnaikubali ccm!
 
Ngushi

JF-Expert Member
Jul 8, 2016
9,080
2,000
Hicho kitabu hivi umekielewa kweli si kimeandikwa kwa kingereza?
Ungeendelea kuflow kwa lugha hiyo hiyo huenda ujumbe ungeendana na hicho kitabu
 
ZE NDINDINDI

JF-Expert Member
Sep 19, 2016
1,890
2,000
Nimeingia jamii forum kwa Id yangu ya zamani 2008 ambayo ilibidi niibadili baada ya watu fulani kuijua ila enzi zile hakukuwa na wajinga kama wengi wa wachangiaji hapa,mwenye akili kubwa ataweza ku read between the lines,dunderheads mtateleza na mtaro wa uharisho mpaka kolomije
 
ZE NDINDINDI

JF-Expert Member
Sep 19, 2016
1,890
2,000
Hicho kitabu hivi umekielewa kweli si kimeandikwa kwa kingereza?
Ungeendelea kuflow kwa lugha hiyo hiyo huenda ujumbe ungeendana na hicho kitabu
sio kitabu ni vitabu,hapa na download kingine about KGB ,kuhusu lugha naielewa je wewe ndugu Bashite nikuulize swali ,unajua maana ya sarcasm?ridicule?mockery? get the hell outta here mkolomije
 
Waterloo

JF-Expert Member
Nov 30, 2010
20,591
2,000
Jamani mtulie mumsome vizuri.najua mna hasira sana na chama cha wajinga kutokana na heading hapo juu.kimsingi mwandishi amewapiga " dongo"/la kisomi Chama Cha Makinikia
 
ZE NDINDINDI

JF-Expert Member
Sep 19, 2016
1,890
2,000
Nimeelewa kwa nini majuzi wabunge wa upinzani walivyoimba wana imani na kikwete na mkapa kuna mabashite walilamika,hata hawakuelewa masikini ya Mungu, Vichwa vizitooooooo kama magunia ya kinyesi
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom