Kiberiti Kidogo
JF-Expert Member
- Jan 14, 2017
- 575
- 917
Kati ya vitu vilivonivutia mwaka huu ni kuwa mtaalamu na gwiji wa kuchenjua makinikia. Naimani sipo mwenyewe. Tena nilivoskia na limtambo litajengwa nchini ndokabisaa akili imekimbilia kwenye makinikia mia mia. Natamani nitumie ata miezi miwili au mitatu usiku na mchana kupambana na elimu hii ambayo imeonekana kama nchi nzima ni tatizo. Mimi naanza Leo ningependa kushirikiana pia na wengine wapendao ili kinu kikijengwa tujikute tuko vizuri. Wanaojua vitabu vinavyohusu makinikia tuambieni. Field Mh Rais atatutaftia kama tutaonesha moyo naimani hiyo. Anaweza tupeleka ata China pale au Germany au Japan. Karibuni wadau