Nipo Arusha kikazi,wapi napata nyama pori halali,mbichi au iliyopikwa ??

Mkuu fafanua hiyo halali una maana gani?
Halali kwa mtazamo wa kidini wasabato/waislamu n.k?
Au halali kwa utaratibu wa sheria ya nchi, yaani hata Tembo, Mbweha na fisi we
unakula tu?
 
Nenda clock towers kuna maduka yapo barabara Ya kwenda ATC au Precison Air au Crdb ulizia hapo watakuelekeza
 
Muulizie mwenyeji wa hapo town, akuelekeze Kisongo. Kuna kiwanja kinaitwa Carnival, zamani zilikuwepo ila kwa sasa sina uhakika, andaa tsh 32,000 kwa kilo 1.
 
Arusha hawana sehemu za kutembelea aisee... Ukiwauliza wanakuambia milestone bhaaassss.....
 
Arusha hawana sehemu za kutembelea aisee... Ukiwauliza wanakuambia milestone bhaaassss.....
Unajua hicho Tu basi,
Vip kuhusu snake parks ya kisongo tena karibu na town kabisa,
Au unawaza bar Tu.
 
Nikijua ulipo nitakupatia unachotaka ili nikuwekee sumu kutimiza chuki yangu kwako. Unakera sana na hoja vioja za chama cha majambazi
 
Nenda sehemu inaitwa Picnic,Shivaz,Mrina,Sky Lounge,Clock Tower ama mitaa ya Florida utapata kitu fresh kabisa tena na huu mwezi wa ramadhan daaaaaah!!mimate mwaaaaaa yanidondoka mie
Mrina kila kitu kinapatikana....!!!!
 
Back
Top Bottom