Upinzani tunataka taifa linalojitegemea

Rubajirwa

JF-Expert Member
Apr 15, 2017
474
250
Wakuu tangu haya mambo ya mchanga wa madini yalivyoanza ku-make headlines kwenye vyombo vya habari nimeona namna serekali inavyojitahidi kutaka kutengeneza taifa la kujitegemea kwa maana ya kuwa na sauti juu ya rasilimali zetu. Wapinzani wanataka kutuaminisha kwamba tutaishi kwa kuwategemea wazungu siku zote. Rais alipotoa maamuzi baada ya report ya kwanza walikuja na hoja ya kututisha kwamba tutashtakiwa na mabepari imekuja report ya pili tundu lissu anasema hela haikua trillion 10. kwa upinzani huu CCM haitatoka madarakani
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom