KWA NIN UTUMIAJI WA SILAHA ZA MOTO KIHOLELA UNAONGEZEKA NCHINI

nver gve up

JF-Expert Member
Apr 6, 2017
247
250
Jaman ndugu zang watanzania jana kijiji flani kama una elekea tabora kuna majambaz yali vamia nawalikuwa wana bunduki na risasi silipigwa sana .......huku tunako kwenda wa tanzania ni wap?????
 
Perfectz

JF-Expert Member
May 17, 2017
7,133
2,000
Mkuu siraha za moto zinarahisisha sana uporaji.Halafu sababu nahisi ni hali ngumu ya maisha.Zingine waulize Ccm
 
ITEGAMATWI

JF-Expert Member
Jan 26, 2012
4,847
2,000
Jaman ndugu zang watanzania jana kijiji flani kama una elekea tabora kuna majambaz yali vamia nawalikuwa wana bunduki na risasi silipigwa sana .......huku tunako kwenda wa tanzania ni wap?????
Kwa Tabora wala sishangai, ndiyo kwetu huko yaani tangu vita vya burundi na rwanda hatujawahi kuishi kwa amani. Silaha kutoka nchi hizo zimetapakaa sana Tabora,Kigoma na Rukwa
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom