Lilikuwa yowe la mwaliko....

Mshana Jr

Platinum Member
Aug 19, 2012
298,981
751,645
Hapo kale kule kijijini mtu alikuwavakipiga yowe basi ujue kuna Shida pahala. .yowe lilimaanisha mwaliko wa kuomba msaada kwenye dharura fulani..
Kama ni jambo la jumuiya baragumu ngoma zumari filimbi vilitumika....siku hizi ni ya tarumbeta loud speakers na hata nyimbo
Kuna kijana mmoja aliwahi kutumia style ya aina yake kuwaalika aliowataka kwa kutumia filimbi ya wauza unga unaolevya! Aliwapata wengi na akafanya yake!
Wiki tatu nne hizi zimekuwa na mtikisiko wa aina yake! Na mijadala ilikuwa mikali mno...ni kuhusiana na wizi wa madini yetu., tuliyoibiwa sana
Tukakamata na makontena 200 na ushee! Zikaundwa kamati za uchunguzi na mapendekezo na zikafanya kazi yao mubashara kabisa

Kituko cha baragumu!
Jumapili hii iliyopita ikawa kuna kitu cha ajabu kikatokea! Magari ya matangazo katika miji mbalimbali yakawa yanapita mitaani na maspika makubwa yakitangaza kuwa jumatatu ilikuwa ni siku ya mkulu kupokea ripoti ya pili ya makinikia....jamaa mmoja akahoji ina maana kesho hatuendi kazini? Matangazo yalikuwa kila mahali na ya kila aina
Jumatatu ikafika sehemu kubwa ya nchi na karibia vyombo vyote vya habari vikawa vinarusha matangazo live ya ripoti hiyo ! Baadhi ya sehemu ilikuwa ni kama kuna mechi muhimu ya mpira! Watu walikusanyika na kusikiliza kwa makini
Acha kabisa ripoti ile . tukapewa takwimu ya jinsi tulivyoibiwa tani kwa tani za madini. ......tumeibiwa matrillion sio mabilioni...ikapigwa hesabu ya pesa ile yani kila mdanganyika angepata Noa h used/reject mpyaa namba D
Wadanganyika wazalendo wengi tulihuzunika sana nikiwaza nilivyoibiwa Noah yangu napata hasira sana!
Kumbe bwana lilikuwa baragumu na yowe la kumualika mwizi meza kuu...aje kufanya nini?
Kujitetea?
Kuteta?
Kufanya patano?
Kuleta mzigo? Kuna wakati nasikia kuna watu walitaka kumhonga mkulu sijui billion ngapi huko!
Mwizi! Tapeli japo msomi mzuri, nadhifu mpaka kwenye medulla kaingia mpaka jumba jeupe kapokelewa kwa bashasha na heshima zote! Kaitwa MWANAUME!
HATUKUPASWA KUFANYA HIVI ASILANI....TOKA SASA NANI ATAMGUSA AKASHA/AKASIA?
Naililia Noah yangu namba D!
 
Acacia Mining Share Price - ACA
Current Price
293.70p

+21.40p

+7.86%

Intraday Acacia Mining Chart

Lengo la kuja kwake ni kupandisha solo lake la hisa pale London na amefanikiwa hiyo Jana tu ndani ya Massa baada ya kumalizia maongezi na Rais Dr John Magufuli hali ilibadilika.
 
CCM ni ileile. Chenge, Mkapa, Karamagi, Rostam, Kafumu, wangekuwa hata kwenye kizuizi cha nyumbani ningeona kweli Magu ana nia ya dhati
IMG-20170615-WA0027.jpg
 
Hapo kale kule kijijini mtu alikuwavakipiga yowe basi ujue kuna Shida pahala. .yowe lilimaanisha mwaliko wa kuomba msaada kwenye dharura fulani..
Kama ni jambo la jumuiya baragumu ngoma zumari filimbi vilitumika....siku hizi ni ya tarumbeta loud speakers na hata nyimbo
Kuna kijana mmoja aliwahi kutumia style ya aina yake kuwaalika aliowataka kwa kutumia filimbi ya wauza unga unaolevya! Aliwapata wengi na akafanya yake!
Wiki tatu nne hizi zimekuwa na mtikisiko wa aina yake! Na mijadala ilikuwa mikali mno...ni kuhusiana na wizi wa madini yetu., tuliyoibiwa sana
Tukakamata na makontena 200 na ushee! Zikaundwa kamati za uchunguzi na mapendekezo na zikafanya kazi yao mubashara kabisa

Kituko cha baragumu!
Jumapili hii iliyopita ikawa kuna kitu cha ajabu kikatokea! Magari ya matangazo katika miji mbalimbali yakawa yanapita mitaani na maspika makubwa yakitangaza kuwa jumatatu ilikuwa ni siku ya mkulu kupokea ripoti ya pili ya makinikia....jamaa mmoja akahoji ina maana kesho hatuendi kazini? Matangazo yalikuwa kila mahali na ya kila aina
Jumatatu ikafika sehemu kubwa ya nchi na karibia vyombo vyote vya habari vikawa vinarusha matangazo live ya ripoti hiyo ! Baadhi ya sehemu ilikuwa ni kama kuna mechi muhimu ya mpira! Watu walikusanyika na kusikiliza kwa makini
Acha kabisa ripoti ile . tukapewa takwimu ya jinsi tulivyoibiwa tani kwa tani za madini. ......tumeibiwa matrillion sio mabilioni...ikapigwa hesabu ya pesa ile yani kila mdanganyika angepata Noa h used/reject mpyaa namba D
Wadanganyika wazalendo wengi tulihuzunika sana nikiwaza nilivyoibiwa Noah yangu napata hasira sana!
Kumbe bwana lilikuwa baragumu na yowe la kumualika mwizi meza kuu...aje kufanya nini?
Kujitetea?
Kuteta?
Kufanya patano?
Kuleta mzigo? Kuna wakati nasikia kuna watu walitaka kumhonga mkulu sijui billion ngapi huko!
Mwizi! Tapeli japo msomi mzuri, nadhifu mpaka kwenye medulla kaingia mpaka jumba jeupe kapokelewa kwa bashasha na heshima zote! Kaitwa MWANAUME!
HATUKUPASWA KUFANYA HIVI ASILANI....TOKA SASA NANI ATAMGUSA AKASHA/AKASIA?
Naililia Noah yangu namba D!
Tanzania yabadilishana sumu kwa dhahabu!!!
Kwa kumbukizi mujarabu.
Tunashangaa eti magufuli anaitwa shujaa!!
 
Back
Top Bottom