Nawaza kuna mtu ananyang'anywa kadi ya chama

njeeseka

JF-Expert Member
Oct 19, 2012
1,319
2,000
Najiuliza hivi mtu akituhumiwa halafu akatunisha misuli dhidi ya mwenyekiti wa chama si ni kama anajiandaa eidha kuhama au kuanzisha chama chake.
Nakumbuka enzi za MM, MM1, MM3 kuna mtu alivuliwa uanachama kisa kurukia chakula cha mwenyekiti.
Nawaza tu hili lililopo si ndio linakoelekea?
Ningeweza kumshauri mmojawao ningesema BORA UKAE KIMYAAA...UKO..UKALALEEEE..
 
Bujibuji

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
49,990
2,000
Wako wa kunikamata ila wakunifunga Hakuna.Nanukuu : Nilitia sahihi kweli kama ripoti inavyodai ila kwa maagizo ya boss wangu sasa tatizo liko wapi kwangu?Aliyetuagiza sisi kutia sahihi ndiye boss huyo huyo aliyemwagiza yeye kuuza nyumba za umma na kama ni kesi zinafanana. Am not stupid to sign agreement without a security.By Chenge
 
OSOKONI

JF-Expert Member
Oct 20, 2011
10,978

Chenge Hana guts za kusema hayo, labda mtuwekee clip
 
Odhiambo cairo

JF-Expert Member
Jul 11, 2015
12,594
2,000
Kama wale jamaa Wawili wamekingiwa kifua ni upumbavu kuhangaika na kina Chenge kwenye kashfa hizi!!
 
rubii

JF-Expert Member
Feb 22, 2015
11,428
2,000
Wako wa kunikamata ila wakunifunga Hakuna.Nanukuu : Nilitia sahihi kweli kama ripoti inavyodai ila kwa maagizo ya boss wangu sasa tatizo liko wapi kwangu?Aliyetuagiza sisi kutia sahihi ndiye boss huyo huyo aliyemwagiza yeye kuuza nyumba za umma na kama ni kesi zinafanana. Am not stupid to sign agreement without a security.By Chenge

Mwanaume huyo!!
Sio fulani muogopa wazungu
 
Come27

JF-Expert Member
Dec 1, 2012
5,622
2,000
Nenda kwenye hansad za bunge Jan msukuma katibua tweet Ya mzee wa dili kubwa kubwa
Izi vita za wasukuma watamalizana Kisukuma zaidi.
Andrew Chenge= msukuma
Mh. Magufuli =MSUKUMA
Ngereja = msukuma
Joseph Kasheku =MSUKUMA
Kwa iyo watamalizana kisukuma zaidi
 
Job K

JF-Expert Member
Oct 4, 2010
9,285
2,000
Chenge Hana guts za kusema hayo, labda mtuwekee clip
Unamfahamu vizuri Mtemi wetu wa Ntuzu wewe? Kaulize vizuri watakusimulia!! Wakijidai tu, Chief wetu anabadili lugha haongei Kiswahili tena tuone kama watamwelewa Mtemi wetu!! Tumemtuma sisi atutafutie pesa na kuzileta Ntuzu full stop!!
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom