Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Mwenye picha na details kwenye hiyo driving licence anatafutwa na police kwa kosa la kumwibia mwajiri wake alikuwa ni driver wa gari T401 CCY SCANIA TANKER. Ameuza mafuta yote aliyokuwa amepakia...
1 Reactions
55 Replies
12K Views
Upumbavu wa wanasiasa wengi ni kufikiri kwamba wao ndo wanaakili na kujua mambo kuliko viongozi walio madarakani. Na mmoja wa hao ni huyu zero brain Zitto Kabwe Nchi yenye wasomi sampuli ya mhe...
3 Reactions
59 Replies
5K Views
Mtazamo wangu..kwanin wa africa hatupigi hatua za kimaendeleo,uchumi,technolojia,siasa,jamii etc..hii imetokana na kwamba,ukiachilia sabab za ki jiografia tumeingia ama tumevamia mifumo ya maisha...
5 Reactions
24 Replies
3K Views
[emoji736] - The highest per capita income in the world at the rate of 146 thousand dollars annually [emoji736] - The second country in the world in the number of millionaires approximately 30...
4 Reactions
10 Replies
2K Views
wakuu nimerudi kazini nakutana na barua kutoka TRA kulipa kodi ya majengo tatizo nyumba yangu ni yakuishi tu naambiwa nilipe 90000 juzi serikali si ilisema nyumba za chini ni elfu kumi hii 90000...
1 Reactions
70 Replies
12K Views
Itifaki izibgatiwe, Kuna mambo nmeyakumbuka wkt wa miaka 90's kuja 80's, kwanza kulala ilikuwa saa12 ukionekana nje umeumia. Sukari haikuuzwa dukani tulikuwa tunapanga foleni kununua sehemu...
4 Reactions
139 Replies
15K Views
Habarini za mchana wana jamvi.Naombeni niilete hii kama kero. Na siku zinvyozidi kwenda naona inakuwa kero kubwa. Kwa wale wanaotumia usafiri wa mwendo kasi hapa Jijini Dar nadhani wameshawaona...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
5. MANYAUNYAU Huyu jamaa wote tunamfahamu, aliiitikisa sana miaka ya 2006,2007, na 2008! alijigamba kuwa akinywa damu ya paka anapata uwezo wa kimiujiza kufichua wachawi.! alizunguka mitaa karibia...
5 Reactions
47 Replies
8K Views
Mama huyo kutoka Uganda amelalamika vyombo vya habari kuingilia mambo yake ya ndani sana Vyombo hivyo vimesema maneno mengi kuhusu mumewe ambayo siyo ya kweli na sasa mumewe amaemuambia atoe jina...
2 Reactions
8 Replies
3K Views
Aisee hawa watoto wa chuo tabia zao zinafafana nchi nzima .... Tabia zao ni common kwa wote. 1.Wanatembea wakiwa wamevaa earphone mda wote na Mabegi mgongoni. 2.Wanavaa suruali chini ya...
4 Reactions
36 Replies
11K Views
Mkuu wa Wilaya ya Iringa Richard Kasesela akiwa katika mgodi wa Nyakavangala uliopo katika Kata ya Malengamakali Mkoani Iringa wakati wa Juhudi za kuuokoa mwili wa marehemu Viskadi Nyenza...
0 Reactions
28 Replies
4K Views
Kanisa la International Evangalism Church(IEC) hapa nchini limetamka kumuunga mkono Rais John Magufuli katika juhudi za kupigania rasilimali za taifa huku likiitabiria Tanzania kuwa ,hivi punde...
0 Reactions
3 Replies
4K Views
Watumishi wote wa umma wa idara za Afya na Elimu kuhakikiwa tena kwa kutumia mfumo wa NIDA. Zoezi hilo litaanza mwishoni mwa mwezi wa July 2017 Mtumishi utatakiwa kuwasilisha vitu vifuatavyo:- 1...
0 Reactions
35 Replies
8K Views
Nimekaa nikaangalia kizazi hiki cha 90s na kizazi chetu za 70s kushuka chini nimeona kuna tofauti kubwa sana na nimesikitika sana. 1. kuna mwaka flan wanafunzi wa kiume wa mabweni yaliyoko...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Habari wakuu Naomba kujua hivi hawa maprofesa wanaofundsha vyuo vya hapa bongo mfano pale udsm,mzumbe,sua,udom wanalipwa shilingi ngapi nataka nihusianishe na mchakato wa upatikanaji wake mana...
1 Reactions
20 Replies
13K Views
ASSALAMU ALAYQUM, YAAMANITTABAAL-ULLAA, Kwa yeyote mwenye suwali kuhusu kisiwa chenye marash ya karafuu (PEMBA) na wapemba, naomba aniuleze, nitamjibu kadri ya uwezo wangu. Najua kuna mengi...
3 Reactions
59 Replies
9K Views
Vyombo vya Habari vimeripoti taarifa tofauti kuhusu ujio wa boss wa Barrick kutoka canada akiwa na mwenyeji wake Rais Dr John Magufuli. Vyombo vya habari vya London vimekanusha habari ya Acacia...
11 Reactions
194 Replies
19K Views
Wana jamvi...Leo nimestaajabishwa na kusikia maiki mkubwa, kelele na matusi makubwa na yasiyofaa kwenye bar moja iitwayo Platinum Dodoma muda wa saa sita au saba hivi nikadhani nimeamka asubuhi...
0 Reactions
4 Replies
770 Views
Ndugu WanaJF, Mnakumbuka tuliwaalika kujumuika nasi kwenye kuadhimisha Siku ya Mtoto wa Afrika? >> Je, unaishi Dar? Una mtoto wa umri kati ya miaka 3 na 15? Mlete kwa Jakaya M. Kikwete Hatimaye...
2 Reactions
17 Replies
3K Views
Habari Wapendwa.Niko hapa nafanya utaratibu wa kusafiri kwenda Mwanza wiki ijayo.Kama mnavyofahamu watumishi wa umma wanapaswa kutumia usafiri wa Shirika la ndege la taifa ATCL.Kuna jambo la...
1 Reactions
18 Replies
2K Views
Back
Top Bottom