mkanda tumboni
Member
- Jun 7, 2017
- 94
- 147
kitu nilichojifunza maisha usije ukamsadia mtu kwa moyo wako wote ukitegemea kuna siku nawewe atakuja kukusaidia,hakuna icho asee yani kuna binadamu zaidi ya kumi nimewasaidia sasa wana maisha mazuri ndugu yao nimefirisika hata salamu hawanipi.
Yani nimefuga mbwa alafu wananibwekea wenyewe.
SHUKRANI KWAKO NYANI NGABU UNA ROHO NZURI SANA
Yani nimefuga mbwa alafu wananibwekea wenyewe.
SHUKRANI KWAKO NYANI NGABU UNA ROHO NZURI SANA