Zuhura Yunus BBC Swahili dira ya dunia

Zuhura Yunus BBC Swahili dira ya dunia

NAPITA

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2012
Posts
5,077
Reaction score
2,249
zu.jpg
zu.jpg
Mtangazaji wa kwanza Mwanamke BBC Swahili TV Nimependa Sauti yake na utangazaji wake kwenye TV na Redio safi sana. Kwa hakika BBC swahili Hawajakosea kumpa kutangaza kwenye Television mpaka raha.
 
Hivi huyu Zuhura Yunus ni Mtanzania au ni kutoka Mombasa? Na kuna mwingine anaitwa Mariam Omary, nae ni Mtanzania au kutoka Mombasa?
Ni Tanzania na Mombasa pekee unaweza kupata Kiswahili fasaha vile
 
Ok. Nadhani hata Mariam Dodo Abdallah atakuwa ni Mombasa

Huwa ananisuuzaga mtima sana nikimskiliza huyu mwanamke.mtulivu,hana papara na approach yake ya utangazaji inavuta attention kwa wasikilizaji...ninadhani sifa zake zinapaa beyond ya hapa.
 
Huwa ananisuuzaga mtima sana nikimskiliza huyu mwanamke.mtulivu,hana papara na approach yake ya utangazaji inavuta attention kwa wasikilizaji...ninadhani sifa zake zinapaa beyond ya hapa.

Umefunguka vya kutosha na hisi hata wakati unaandika ulikuwa unaandika kwa hisia sana.
 
Kennedy kumbe Mombasa wako vizuri lakini wengi wao wanakuwa na vimelea vya Kitanzania kidogo aisee kama huyu Zuhura..
 
Back
Top Bottom