terrat
JF-Expert Member
- May 6, 2015
- 204
- 100
Wana jamvi poleni Na mihangaiko ya siku.
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, nimeona niulize hili swali nipate mawazo tofauti ambayo yatanijenga kwa namna moja au nyingine!
Kuna mitazamo tofauti tofauti ya watu juu ya swala la ku-post picha mitandaoni, Instagram, Facebook Na mingine,
Sasa je ..
Ni ushamba kupost picha?
Na je ni ulimbukeni?
Natanguliza shukrani wakuu!