Peter Kibatala: Mkulima alikuwa na ghala la kuhifadhia nafaka, ghala lilikuwa limejaa nafaka.

Francis12

JF-Expert Member
Sep 30, 2016
7,533
22,278
Anaaandika Wakili Msomi Peter Kibatala.
A parable;

Mkulima alikuwa na ghala la kuhifadhia nafaka, ghala lilikuwa limejaa nafaka.

Siku moja akamuona panya akiingia ghalani; akatahayari sana na haraka akaenda kuchukua bunduki aina ya gobole ili kumuua panya yule. Mawazoni mwake ilikuwa ni 'maskini nafaka zangu zote panya watakuwa wamezimaliza!'.

Katika hasira na uchungu wa nafaka zake kuliwa na panya, akawa anamkimbiza yule panya na akafyatua risasi ili kumlenga panya. Risasi ikaelekea katika manyasi yatokanayo na zao la nafaka (hay) yaliyokuwemo ghalani kwa ajili ya malisho ya mifugo, na hiyo ikasababisha moto uwake ghalani.

Kwa haraka majirani na watoto wa bwana mkulima yule wakakimbia huku na kule katika juhudi za kuzima ule moto ghalani.

Kila mtu, akiwemo Mkulima yule, wakasahau kabisa suala la msingi lililokuwa likifanyika; kumtafuta Panya ghalani ili asiendelee kula mazao.

Wote wakawa busy na a collateral issue; kuzima moto uliosabishwa na zoezi la kumtafuta panya ili asiharibu hifadhi ya nafaka ghalani.

Walipofanikiwa kuzima moto: wakajipongeza sana kwa kazi nzito na kwa kufanikiwa kudhibiti moto usilete madhara zaidi.
 
Moto waliuzima na nini mkuu maji au? Maana nahisi jamaa atakuwa kaingia hasara maradufu kama wametumia maji na ukizingatia panya bado yupo ghalani.... (nawaza tu)
 
Dah panya kasahaulika...moto umewasahaulisha..kwahyo mzigo utaendelea kuliwa kama kawa...Sasa linganisha na kinachoendelea..
 
Anaaandika Wakili Msomi Peter Kibatala.
A parable;

Mkulima alikuwa na ghala la kuhifadhia nafaka, ghala lilikuwa limejaa nafaka.

Siku moja akamuona panya akiingia ghalani; akatahayari sana na haraka akaenda kuchukua bunduki aina ya gobole ili kumuua panya yule. Mawazoni mwake ilikuwa ni 'maskini nafaka zangu zote panya watakuwa wamezimaliza!'.

Katika hasira na uchungu wa nafaka zake kuliwa na panya, akawa anamkimbiza yule panya na akafyatua risasi ili kumlenga panya. Risasi ikaelekea katika manyasi yatokanayo na zao la nafaka (hay) yaliyokuwemo ghalani kwa ajili ya malisho ya mifugo, na hiyo ikasababisha moto uwake ghalani.

Kwa haraka majirani na watoto wa bwana mkulima yule wakakimbia huku na kule katika juhudi za kuzima ule moto ghalani.

Kila mtu, akiwemo Mkulima yule, wakasahau kabisa suala la msingi lililokuwa likifanyika; kumtafuta Panya ghalani ili asiendelee kula mazao.

Wote wakawa busy na a collateral issue; kuzima moto uliosabishwa na zoezi la kumtafuta panya ili asiharibu hifadhi ya nafaka ghalani.

Walipofanikiwa kuzima moto: wakajipongeza sana kwa kazi nzito na kwa kufanikiwa kudhibiti moto usilete madhara zaidi.
Lissu na kibatala wanapambana bila kujijua kugombea airtime na matukio ya jpm.
 
Ngoja nijaribu kulifumbua fumbo la wakili huyu machachari.

Ghala---migodi
Mkulima...Watanzania na serikali yao
Nafaka..... Dhahabu
Panya....... Makampuni ya madini ya mabeberu
Hay .......... Makinikia

Watanzania tunashangilia makinikia (hay) kudhibitiwa, tumesahau kabisa kwamba makampuni ya madini ya mabeberu (panya) bado yako migodini na dhahabu yetu bado inaendelea kuchimbwa na kuibiwa.
 
Umefafanuzi ambayo wenye uelewa watakuelewa
 
Back
Top Bottom