Return Of Undertaker
JF-Expert Member
- Jun 12, 2012
- 4,572
- 26,885
Eti tunajivuna tumeweza wakati tuna shule za miti na wanafunzi 743 tujitafakari tunapeleka wapi elimu.
Ni shule ya Msingi Machiga "B" katika kijiji cha Pachani wilaya ya Nanyumbu Mtwara. Shule hiyo imejengwa tangu mwaka 2005 na ina madarsa ya tofali mawili tu kati ya hilo ni ofisi za walimu mvua ikinyesha ndo shule inakuwa imeshia hapo.
Sijui kodi zetu zinafanya nini au ndo tumehamishia kwenye Lugumi