April mwaka jana, Mamlaka ya Chakula na Dawa Tanzania (TDFA) ilikamata makopo 1,526 ya vinywaji vya kuongeza nguvu katika soko la Tanzania ambavyo vilikuwa havikidhi viwango vya ubora na usalama...
Leo ndugu zangu.
Nimeleta uzi huu kwa uchungu na masikitiko makubwasa.
Ivi kwa nini unabeba watoto zaidi ya wa2 unaenda nao kariakoo kipindiichi karibu na sikukuu?? Kweli mwanao ummemzaa...
Habari,
Napenda kuchukua nafasi hii kuwatahadharisha EWURA kuwa tayari baadhi ya wafanyabiashara wa mafuta wameanza kuficha mafuta ili wauze kwa bei ya juu kuanzia Julai 1 , na kujipatia faida...
Utafiti huo uliofanywa na Chuo cha Kings, London na kuchapishwa Mei mwaka huu, umebaini kuwa hata umri mkubwa wa mama si tatizo kwa mtoto bali humuongezea mtoto anayezaliwa kinga ya mwili...
Mchungaji amuua mtoto na kuzika kichwa madhabauni.
========
The police in Lagos on Thursday arrested a pastor for allegedly beheading a seven-year old boy and burying his head at the church’s...
Kipindi kile cha Nyerere kuwatambua usalama wa taifa ilikuwa ni kazi ngumu sana...ilifika point hata ukimwona kichaa kama mazingira flani inakulepekea kuhisi ni usalama wa Taifa...
ungeweza...
Sheikh wa Mkoa wa Mbeya, Mohamed Mwansansu amesema anayezibeza juhudi za Rais John Magufuli anapaswa kulaaniwa.
Sheikh Mwansasu ametoa kauli hiyo jana (Jumatatu) usiku alipokuwa akisoma...
Habari zenu Ndugu Katika bwana,Aslam alyekum Ndugu.Binadam tangu mwanzo amepitia Vipindi mbalimbali vya maendeleo kulikuwa na Zama za mawe(mwanzo,kati,mwisho)Katika Vipindi hivi binadam alitumia...
Kwanza nianze kumpongeza mzee huyu mwema ambaye binafsi kwa
upande wangu aliongoza kipindi kizuri zaidi kuwahi kutokea katika
historia ya Tanzania, Narudia..... (kwa upande wangu)
Naomba kujua...
Nianze kwakusema sifungamani na chama chochote cha siasa bali ninawakubali wanasiasa wasioteteatu maslahi ya vyama vyao kwanza bali wananchi kwanza
Nimeamua kumkumbusha Ndugai kwani binadamu huwa...
Kizaazaa jana kilitokea hapa jijini Arusha kwa wasajili wa laini wote katikati ya jiji la Arusha baada ya mzungu kusajiliwa laini ya simu kwa dollar elfu moja.
Mzungu huyo aliletwa na flycatcher...
Rais Magufuli ametuma rambirambi kwa familia, wanachama wa Chama Cha Mapinduzi(CCM) na Uongozi na Wanachama wa Klabu ya Yanga kutokana na kifo cha shabiki maarufu, Ali Mohamedi maarufu kama Ali Yanga.
Heshima kwenu wakuu,
Kuna matangazo nayaona ya RED Bracket, yanahusiana na nini? Sijajua hasa nini wanategemea kufanya, je kuna mtu anajua kinachoendelea?
Hata hapa JamiiForums naona Tangazo...
Nakumbuka mara ya mwisho Video ya Dr Slaa inavuja kutoka hoteli ya Hyatt zamani Kilimanjaro alikutana na mwanasheria mwanasiasa kwa zaidi ya masaa mawili.
Alipoulizwa nini kiini cha mazungumzo...
Ninayeongea nanyi ni shuhuda mara mbili wa wizi husika.Kumetokea aina mpya ya wizi hapa jijini Dar ambapo mwizi hutumia aina fulani ya maji ambayo ukinyunyiziwa unabaki umeduwaa au unazimia.
Wiki...
Alfajiri ya kesho, Jumatano tarehe 21 Juni, baada ya saa kumi na nusu utaweza kuona mkutano wa sayari ya Zuhura, inayowaka vikali sana kama nyota ya asubuhi, pamoja na hilali ya Mwezi. Zitatoa...
Salamu,
Naomba kujua kwa wazalendo humu jf kodi ya ongezeko la thamani (VAT) kwenye mashine za kilimo kama powertiller zinafanyika kwa kanuni ipi au mfano umenunua mashine nje ya nchi kwa millioni...
Mheshimiwa, mkuu mwenyewe!
Kupitia vyombo vya habari nimekusikia ukisema, "Mwizi ni mwizi tu"... Ni kweli kabisaaaa paka ni paka tu,.....
Sawa WOTE wezi, tumekuelewa mkuu.....
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.