Mashindano ya Qur-an ya Dunia Yafanyika Diamond Jubilee, Dar

kwa hiyo Washindani wametoka pande zote za dunia-unamanisha mpaka watu kutoka Iraq nao wapo
 
Naombeni kuulizwa swali hivi hayo maneno ya kiarabu inawezekana kuyatamka kwa kiswahili? au kuswali ibada nzima kwa lugha ya kiswahili kwani haiwezekani?
 
Kuna maneno mengine kupata tafsiri yake halisi kutoka lugha moja kwenda nyingine ni ngumu. Na kwa masuala ya ibada kupoteza maana kwenye tafsiri ni kitu hatari sana. Kuna maneno ukitaka kutafsiri kwa mfano toka kiingereza kwenda kiswahili tafsiri ina kuwa na upungufu mkubwa!
 
Sidhani kama ni kweli Mkuu ukisema hivyo maana yake biblia ingeachwa na lugha yake ile ile lakini imetafsiriwa mpaka kuja kwenye kiswahili
 
Back
Top Bottom