Rais Magufuli atuma salamu za rambirambi kufuatia kifo cha Ali Yanga

Kurzweil

JF-Expert Member
May 25, 2011
6,597
2,000
d3a88c13-f526-47d5-9091-9c0b8ba0e0e1.jpg

Rais Magufuli ametuma rambirambi kwa familia, wanachama wa Chama Cha Mapinduzi(CCM) na Uongozi na Wanachama wa Klabu ya Yanga kutokana na kifo cha shabiki maarufu, Ali Mohamedi maarufu kama Ali Yanga.

Screenshot from 2017-06-21 08-49-10.png
 
Getstart

JF-Expert Member
Oct 13, 2012
6,666
2,000
Sikuona salaam kama hizi alipofariki shabiki wa simba kwenye ajali wakitokea Dodoma? Au ni kwa vile Yanga ni tawi la CCM...Hata hivyo kama Rais anatakiwa kuguswa na wananchi wote hata wale wasio wanachama wao.
 
chibuga mugeta

JF-Expert Member
Jun 29, 2012
1,070
2,000

Rais Magufuli ametuma rambirambi kwa familia, wanachama wa Chama Cha Mapinduzi(CCM) na Uongozi na Wanachama wa Klabu ya Yanga kutokana na kifo cha shabiki maarufu, Ali Mohamedi maarufu kama Ali Yanga.

Kama ni kweli basi huu ni upendeleo mkubwa,mbona yule mwana dada shabiki wa simba shose kama sikosei aliyekufa kwa ajali akiwa na akina mkude mkuu hakutoa salamu za rambirambi wanasimba hatujafurahia
 
mrangi

JF-Expert Member
Feb 19, 2014
54,620
2,000
Kama ni kweli basi huu ni upendeleo mkubwa,mbona yule mwana dada shabiki wa simba shose kama sikosei aliyekufa kwa ajali akiwa na akina mkude mkuu hakutoa salamu za rambirambi wanasimba hatujafurahia
Lazima Apewe pole kukimbiza Mwenge Si mchezo

Ova
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom