Machuchu
JF-Expert Member
- Mar 31, 2017
- 1,260
- 969
Leo ndugu zangu.
Nimeleta uzi huu kwa uchungu na masikitiko makubwasa.
Ivi kwa nini unabeba watoto zaidi ya wa2 unaenda nao kariakoo kipindiichi karibu na sikukuu?? Kweli mwanao ummemzaa unashindwa kujua size ya nguo kweli au kwa nini usibebe nguo kama kipimo??. Najuaga wenye maduka hawakatai kubadili nguo kama ndogo ili mladi uwe na risiti na iyo nguo usiitoe rebo.
Watoto wanapigwa vikumbo, wanasukumwa, mtoto kachoka analia, wanakanyagwa, anatoka jioni akiludi [HASHTAG]#USAFIRI[/HASHTAG] jioni shida mnawapenyeza madirishani tena kwa kuomba mtu akupakatie na jua pia kali utakuta mama hana hata mwamvuli.
Jana kuna mama kaingia na mtoto yale maduka ya chini (Under ground) mtoto kaishiwa punzi na nguvu hadi povu linamtoka macho yameshabadilika na kumkimbiza hosp, apo raha ipo wapi..... unataka yatokee ya kutokea uje kuanza kumuuliza mshana jr maswali eti lile lilikuwa jini au upepo mmbaya umempitia.