Tahadhari Vituo vya kuuza Mafuta reja reja wameanza kuficha Mafuta kusubiri Tarehe 1 Julai

Waterloo

JF-Expert Member
Nov 30, 2010
25,360
38,875
Habari,
Napenda kuchukua nafasi hii kuwatahadharisha EWURA kuwa tayari baadhi ya wafanyabiashara wa mafuta wameanza kuficha mafuta ili wauze kwa bei ya juu kuanzia Julai 1 , na kujipatia faida maradufu.

Hatua zichukuliwe mapema kuwasaidia wananchi kutokana na adha itakayotukuta kwa kukosa nishati hii muhimu kwa matumizi ya magari na mashine nyingine.
 
Jana nimeona MAGARI mengi sana yanatoa mafuta uku tiper,..itakua ndo sabab nn,
Ndo hivyo wananunua kwa bei ya chini na kuficha ili kuanzia tarehe moja wanauza stock ya zamani kwa bei mpya.serikali iingilie kati haraka sana tena ikiwezekana wafutiwe leseni .huku ni kuvuruga biashara ya mafuta.
 
Back
Top Bottom