Nani ana ufahamu na bracket, ni nini hasa?

figganigga

JF-Expert Member
Oct 17, 2010
25,492
54,890
Heshima kwenu wakuu,

Kuna matangazo nayaona ya RED Bracket, yanahusiana na nini? Sijajua hasa nini wanategemea kufanya, je kuna mtu anajua kinachoendelea?

Hata hapa JamiiForums naona Tangazo lao ila sijajua ni nini hasa. Msaada wenu wakuu.
upload_2017-6-20_16-31-9.png
 
Back
Top Bottom