hbr wana jf. mim nilikua nahitaji kujua kuhusu suala la diploma kupewa mkopo limeshapitishwa ?. au bdo. mana bi ndali alipeleka pendekezo lijadiliwe bungen. please kwa yeyote anaejua full infor...
Jeshi la polisi wilaya na mkoa wa Lindi limefanikiwa kufyeka na kuteketeza shamba la bangi lenye ukubwa wa zaidi ya ekari mbili,na kukamata lita 177 za pombe haramu aina ya gongo na kuwashikilia...
Dar es Salaam. Timu iliyoundwa na Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu kuchunguza tuhuma za wizi wa mtoto pacha katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa ya Temeke...
Kutokana na Mzunguko wa Jua la Utosi (The Overhead Sun, ingawa kiuhalisia sio Jua linalozunguka juu ya uso wa Dunia), Jua la Utosi liko maeneo ya kusini mwa mstari wa IKWETA, kwa maana nyingine...
Kwanza kabisa nianze kwa kumshukuru mwenyezi MUNGU mwingi wa rehema kwa kutufanikisha kuiona tena siku ya leo,pili niwashukuru wana JF wote ambao wamekuwa wakichangia mada mbali mbali ili...
Utafiti mdogo uliofanyika , unaonyesha NHIF inaweza angukia pua wakati wowote kutokana na kudaiwa gharama kubwa za vipimo na hospitali binafsi , dini na serikali. Mpaka sasa baadhi ya hospitali...
Msomi aliyekata tamaa ni msomi mdhaifu aliyebakwa na elimu yake ,msomi asiyejitambua ni msomi aliyevunda ambaye amepaka manukato elimu yake kwenye vyeti vyake ili anukie elimu wakati amevunda na...
Wanawake wa kiislam mnaovaa hijabu na kujifunika na mikanga hadi chumbani mkiwa na waume zenu mnaonywa kua huo ni upumbavu. Angalieni mawaidha ya Sheikh.
Baada ya maslahi ya watumishi kutopandishwa kwa muda mrefu, na wengi wao wakiwa katika vitengo wasivyoweza kula kwa urefu wa kamba zao; watumishi wengi wamekuwa wakiibia muda serikali au waajiri...
Have you ever noticed this rare coincidence of somehow similar names which may not happen again on earth?
1. Janeth Kaguta Museveni; Current First Lady, Uganda, East Africa
2. Janeth Paul Kagame...
Kwa Ufisadi na Uhujumu Uchumi huu wa hawa akina Harbinder Seth na James Rugemalira ambao kimsingi ulitokea wakati wa awamu ya nne ( 4 ) sasa nimeshapata jawabu langu la kwanini Wabunge wengi wa...
Jameni mm nilisikia eti mkuu wa Mkoa siyo Mwajiriwa wa serikali yy ni Mwanasiasa. Sifa kuu ni kujua kusoma na kuandika tu. Japo muongozo wao unataka awe na Advanced Diploma au Degree or Equivalent...
Nimejaribu kusoma maandiko mbali mbali mitandaoni wengi wakifurahia kukamatwa kwa Seth na Rugemalira, wengi wakaenda mbali zaid kumpongeza mh.
nkajiuliza wengine wako wapi? Ripot ya Bunge...
Wadau Nimegundua Kila Binadamu Anapata Uchungu Sana Hasa Akitendewa Vitendo Vya Kinyanyasaji Hasa Maofisini Matokeo Yake Atakuombea Mabaya Yakufike Hasa Ajali Itakayotoa Uhai Wako Ama Kutoa Ini...
Kipindi kile cha Nyerere kuwatambua usalama wa taifa ilikuwa ni kazi ngumu sana...ilifika point hata ukimwona kichaa kama mazingira flani inakulepekea kuhisi ni usalama wa Taifa...
ungeweza...
Kwa kweli mimi ningekuwa Magufuri cha kwanza ningepiga marufuku hii tabia ya wazazi au watu wazima kwenda beach na watoto...
Jamani hizi siyo tamaduni zetu...unakuta jimama limevaa kibikini tu...
Tafadhali naomba kwa anayefahamu anifahamishe ni wapi naweza toa taarifa na ikafanyiwa kazi endapo nimeona mnyama anafanyiwa ukatili sababu kuna mtu naona hamtendei haki Ngedere wake anamfundisha...
Mkurugenzi wa TFDA, Hiiti Sillo
Mkurugenzi wa Mamlaka ya Chakula na dawa {TFDA}, Hiiti Sillo amewatoa wasiwasi wananchi wa Tanzania kwa kuwaambia mpaka sasa hawajapokea taarifa yeyote ya kuonesha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.