Kwanini hivi leo usalama wataifa wanajulikana ovyo na si kama enzi za Nyerere

baba anjela

JF-Expert Member
Mar 17, 2013
385
250
Kipindi kile cha Nyerere kuwatambua usalama wa taifa ilikuwa ni kazi ngumu sana...ilifika point hata ukimwona kichaa kama mazingira flani inakulepekea kuhisi ni usalama wa Taifa...

ungeweza kukuta mtu ni camera man kumbe ni usalama wa taifa...mpaka baadhi ya vichaa tulidhani wengine wako undercover lakini ni usalama wa taifa...

Piya hatukusikia matukio yoyote yaliyofanywa na wao...japo naamini yalikuwepo ila yalitekelezwa kwa usiri mkubwa.

Ila kwa sasa du!! usalama wa taifa si kificho tena.... Utakuta baa tena wakishagonga vyombo ni maneno ya kujisifu kwenda mbele... Mboga,mchuzi vyote wanamwaga tu...bila kujali nafasi zao...

Je! Ni maadili ya kazi kushuka au ..
 
Compact

JF-Expert Member
Oct 22, 2015
3,951
2,000
Hakuna Usalama wa Taifa anayejitambulisha hovyo hovyo, mpaka pale ambapo kutakuwa na ulazima wa kufanya hivyo.

Hao wanaolewa na kuropoka siyo Usalama, bali huenda ni inferiority complex. Kutaka kuogopwa mahali hapo, kuwatishia wengine baada ya kugombana au kuwa na dalili ya kugombana na mtu fulani. Hivyo, hujijengea defensive mechanism ili asidhurike.

Hakuna usalama wa aina hiyo. Hao ni wajinga wanawatishia.
 
Ibn Ayoub

JF-Expert Member
Dec 20, 2015
2,150
2,000
Roma aliwatambua kwa kumteka nae akawambia rafikiki zake kuwa yule na yule ni watu wa usalama kumbe yule rafiki wa roma nae ana rafiki yake nae akamwambia kuwa nimeambiwa na roma kuwa yule jamaa ni usalama hivyo ndivyo moja ya njia inayowafanya wajulikane kuwa Baba anjela ni mtu wa usalama
 
Rajikumar Ashoka

Senior Member
Jun 3, 2017
150
225
Ww kama uliingizwa mkenge ukatoa vyote kwake umeliwa hamnaga usalama wa kukwapuka ovyo kama ufikiriavyo hivyo kuwa makini na watu wa namna hiyo kwani kwa sasa kuna madaktari Feki, polisi feki, kila kitengo wapo wengine hutumia jina hilo kuwaibia watu hivyo ukikutana na mtu wa namna hiyo toa taarifa haraka sana polisi ili akamatwe mtu huyo kwani kuna waizi watumiao jina hilo ili waogopwe
 
  • Thanks
Reactions: cmp

Mr Q

JF-Expert Member
Aug 16, 2012
9,354
2,000
Wapo wengi tu. Kuna wale wanaoambatana na mama Samia.
sasa wale ambao kila mtu anajua wapo pale kwa shughuli maalum

nazungumzia hapo mkoani kwako kazini kwako na hata kanisani/msikiti unako endaga kusali. kuna yeyote unamfaham?
 
  • Thanks
Reactions: cmp

Compact

JF-Expert Member
Oct 22, 2015
3,951
2,000
sasa wale ambao kila mtu anajua wapo pale kwa shughuli maalum

nazungumzia hapo mkoani kwako kazini kwako na hata kanisani/msikiti unako endaga kusali. kuna yeyote unamfaham?
Hukuuliza kwa muktadha huo. Nami nilikujibu kama ambavyo uliuliza.
 
neba

Senior Member
Nov 19, 2008
175
250
Hii hali ya kutaka kujulikana kila mahali,ni kupotoka kwa maadili.
Usalama wa Taifa ni secret service.
 
wa stendi

JF-Expert Member
Jul 7, 2016
17,073
2,000
Kipindi kile cha Nyerere kuwatambua usalama wa taifa ilikuwa ni kazi ngumu sana...ilifika point hata ukimwona kichaa kama mazingira flani inakulepekea kuhisi ni usalama wa Taifa...

ungeweza kukuta mtu ni camera man kumbe ni usalama wa taifa...mpaka baadhi ya vichaa tulidhani wengine wako undercover lakini ni usalama wa taifa...

Piya hatukusikia matukio yoyote yaliyofanywa na wao...japo naamini yalikuwepo ila yalitekelezwa kwa usiri mkubwa.

Ila kwa sasa du!! usalama wa taifa si kificho tena.... Utakuta baa tena wakishagonga vyombo ni maneno ya kujisifu kwenda mbele... Mboga,mchuzi vyote wanamwaga tu...bila kujali nafasi zao...

Je! Ni maadili ya kazi kushuka au ..
Aisee
 
wa stendi

JF-Expert Member
Jul 7, 2016
17,073
2,000
Hakuna Usalama wa Taifa anayejitambulisha hovyo hovyo, mpaka pale ambapo kutakuwa na ulazima wa kufanya hivyo.

Hao wanaolewa na kuropoka siyo Usalama, bali huenda ni inferiority complex. Kutaka kuogopwa mahali hapo, kuwatishia wengine baada ya kugombana au kuwa na dalili ya kugombana na mtu fulani. Hivyo, hujijengea defensive mechanism ili asidhurike.

Hakuna usalama wa aina hiyo. Hao ni wajinga wanawatishia.
Saafii mkuu jibu linamtosha
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom