Hakimu wa Mahakama ya Mwanzo Magomeni, Omary Abdallah(Mwenye fulana ya damu ya mzee) amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, akikabiliwa na mashitaka ya kushawishi rushwa ya...
Wakuu Tuwe Wa kweli.
JF Toka Imeanzishwa imekuwa na Mchango Mkubwa sana kwa Jamii kwa Ujumla hasa wale wanaoitumia JF kwa Manufaa .
Wengi tumefanikiwa na wengine Wametulia mahala walipo...
'Jeshi la Magereza katika gereza la mahubusu Keko, limefanikwa kukamata simu 5 za kisasa (smart phones) zilizokuwa zingizwe gerezani huko na kupewa wafungwa kwa ajili ya mawasiliano jambo ambalo...
Wadau Wenzangu Wa Mambo Ya Jadi Nimepitapita Maeneo Flani Nimetumwa Nguo Yake Chafu Yenye Jasho Nitaipataje Maana Nitahangaika Nae Miaka Na Miaka Mpaka Akione Cha Mtema Kuni.Sitakubali Kushindwa.
ni kwamba remort inapofanya kazi ni lazima uisogeze kwenye tv karibu sana kitu kingine unapoicommand kwa kutumia remort mfano unapoonda kwenye menu au home icon zinaonekana lakini maandishi...
Habar wana jamvi ?? Natumai tuko vzr tukiendelea kupambana na nchi yetu ambayo imesha kosa muelekeo . Anyway tusahau hayo nimeanzisha uzi ile nione wale wenzangu ambao wamesha wahi kupita...
Kaswali kangu kafupi tu hivyo, naomba kujaua je kuna Ukweli mpaka May, 2017 TRA wanakusanya TZS.1.3Tril?
Nilikuwa namsikiliza Rais Magufuli anasema TRA inakusanya wastani wa Mapato ya Kiasi...
ndugu jf
naomba kujua nauli ya Tabora to arusha ni shilling ngapi ?
nifahamisheni muda wa safari pia..
je gari zipo na kufanya safari kila siku ?
NB: nipo mbali na maeneo tajwa hivo...
Habari wakuu na poleni na majukumu,Kwa sisi watumishi wa umma tuliahidiwa increments mwezi ujao.Je,na huu uhakiki wa NIDA imekaaje sio ndio sababu ya kutukuwepo haki hiyo.!!Unakaribishwa kwa mchango
UWAPO MIKONONI MWA POLISI IMEANDALIWA NA MAWAKILI
1. Askari akikuweka chini ya ulinzi muulize kitambulisho ni haki yako.
2. Askari akikukamata akuoneshe kitambulisho chenye muhuri wa mahakama...
iInasikitisha kuona maeneo mengi ya mji wa dares salaam mabomba yakiwa yanamwaga maji hovyo barabara ni wakati wakazi wa Bunju b juu njia ya kuelekea Mabwepande hakuna maji kabisa
Tumeshapiga...
Wahenga walisema ukipenda boga, penda na ua lake. Kiukweli wahenga waliona kitu katika upendo ambacho kilikuwa hakiendi sawa. Na baadhi ilikuwa ni mtu kumpenda mtu kwa sababu ya kitu flani na kile...
Kuna ajali ya moto ilitokea Jumapili juni 18 huko kilosa.Moto uliwaka katika jengo la #UJENZI leo jioni ulio sababishwa na wapika #Rami
Mashine azijafikiwa na moto nakuna Mali yeyote ilio...
Kwanini mnachelewa kujiorodhesha sokoni DSE?...
Awali mlibainisha kuwa hadi tarehe 12 Juni mtakuwa sokoni kwanini hamjajiorodhesha? na hamjatupa taarifa? .......
Kwanini msiwe na mfumo wa kutu...
Mulioko Mbeya nawasalimu na baada ya hizo salaamu niwaulize kama kuna anayejuwa ni wapi nitapata nyumba ya kupanga hapo city centre...nahitaji two bed rooms...living rooom toilets etc yaani SELF...
Police wajifunze maana kamili ya uti wa shuriti bila sheria , wasitumie kauli hiyo kunyanyasa na kudhalilisha.
Heko saana Mwigulu Nchemba waziri husika. Mnazidi kuifanya serikali hii makini kuwa...
Ni kauli ya Mama Mzazi kwa bintiye wa Darasa la Saba akiwa ndio anarejea kutoka Shule siku ambayo binti alipaswa kufanya Mtihani.
Na nukuu,
Mama,
".... Marahabaa mwanangu,
Pole kwa Uchovu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.