VAT kwenye mashine za kilimo

Ahead

JF-Expert Member
Jan 11, 2013
2,205
2,431
Salamu,
Naomba kujua kwa wazalendo humu jf kodi ya ongezeko la thamani (VAT) kwenye mashine za kilimo kama powertiller zinafanyika kwa kanuni ipi au mfano umenunua mashine nje ya nchi kwa millioni tano kodi ya thamani ni shingapi?
Natanguliza shukrani
 
Kujua jambo hakuna mafungamano yoyote na uzalendo mkuu, hoja hapa ni kuomba kujuzwa toka kwa wajuzi. Over
 
Salamu,
Naomba kujua kwa wazalendo humu jf kodi ya ongezeko la thamani (VAT) kwenye mashine za kilimo kama powertiller zinafanyika kwa kanuni ipi au mfano umenunua mashine nje ya nchi kwa millioni tano kodi ya thamani ni shingapi?
Natanguliza shukrani
Agricultural machinery kama power tiller zina ZERO import duty na ZERO VAT, inatozwa Customs Processing Fee (CPF) asilimia 0.6 na Railway Development Levy (RDL) 1.5% ya gharama uliyonunulia mzigo. kodi hizi ni kiasi kidogo sana.
 
Asante ndugu zachaja
 
Back
Top Bottom