kuna wizi umezuka maeneo nayoishi ambapo wezi hao wanatumia dawa inayowafanya waliomo ndani ya nyumba wanayotaka kuiba kulala fofofo kisha kuwaibia.
Mimi natafuta namna yakukabiliana na hili...
Wakuu..
Mara nyingi tumesikia habari nyingi ambazo mimi binafsi sijawahi shuhudia. Tumesikia watu kadhaa ambao wana utajiri na mali nyingi ambao huusishwa na ushirikina katika kupata mafanikio...
surprises president with Hebrew prayer
Job Daudi Masima, Tanzania's first ambassador to Israel, dons kippah, greets Israeli President Reuven Rivlin with Hebrew prayer.
Arutz Sheva Staff, 15/06/17...
Alipigania Shule Ijengwe Huku Akikutana Na Upinzani Toka Kwa Wanakijiji Waliokuwa Hawataki Shule Hiyo Ijengwe Mpaka Akakwepa Panga Na Mawe Kadhaa Yalimpata Na Kumjeruhi.Leo Alimleta Mwanae Apate...
Natamani kuwafahamu inasemekana walikua ni watu waliokua hodari na wenye nguvu duniani na walileta ngezeko la maovu
Karibuni wajuzi,wajuaji,wataalamu wa mambo,wazee wa utafiti na wengine wa...
Mimi mtafutaji kama watu wengine,nimekuwa nikifuatilia thread moja humuhumu JF, uliandikwaga na ONTARIO..
Nimeanza kufuatilia na kusoma baadhi ya articles zinazoelezea FOREX FOR BEGINNERS...
Ni vizuri kama viongozi watajenga tabia ya kuandika vitabu juu ya mitizamo yao kuhusu mambo mbali mbali ili vizai na vizazi viweze kuzisoma falsafa zao.
Kwa mfano Dr. Slaa keshaandika, wengine...
Dodoma. Serikali mwaka huu itaanza majaribio ya watu kujipima wenyewe Virusi vya UKIMWI ili kujua faida na hasara zake.
Naibu Waziri wa Afya Maendeleo ya Jamii Wazee na Watoto, Dk. Khamis...
Hii ni vita yetu sote hebu jamani wananch wakibiti ebu toeni ushirikiano na polisi zidi ya hiki kikundi cha magaidi kinachokuwa kwa kasi ya ajabu kwenye nchi kama hii ya amani.Hii kitu ni hatari...
Mtu mmoja amefariki dunia na wengine ishirini wamelazwa kwenye zahanati ya kijiji cha Samazi,katika wilaya ya Kalambo mkoani Rukwa,kufuatia kuibuka kwa ugonjwa wa kipindupindu kwenye kijiji...
Naibu waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Mh. Dk. Hamisi Kigwangalla amefunguka na kusema kuwa wanaume wengi wamekuwa vinara wa michepuko jambo ambalo linapelekea kupata...
Mheshimiwa Rais awali ya yote napenda kukupongeza kwa dhati ya moyo wangu kwa namna unavyoiongoza nchi yetu. Pia napenda kukufahamisha kwamba mimi ni miongoni mwa watanzania waliokupigia kura...
Habari wanabodi.
Hivi karibuni nimepata Hati ya Madai ya Kodi ya Jengo kwa Mwaka 2015/2016 ya kibanda changu ambacho kina umri wa mwaka mmoja. Eneo langu halina HATI (TITLE DEED) ni mikataba tu...
Mke mdogo wa aliyekuwa muimbaji wa miondoko ya taarabu, mfalme Mzee Yusuph aitwae Chiku amefariki usiku huu katika hospitali ya Amana alipokwenda kujifungua
Chiku amefariki yeye pamoja na mtoto...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.