Wengi wanaomtazama msichana mja mzito kama vile katenda kosa ambalo halistahili kufanywa na yeye, hapa naongelea mitazamo yetu ya kiafrika.
Mpaka mwanafunzi anafikia hatua ya kwenda kujifungua...
KAIMU KATIBU WA IDARA YA VYUO NA VYUO VIKUU UVCCM,DANIEL ZENDA ATOA SALAMU ZA KUSHUKURU WANA CCM NA WATANZANIA KWA UJUMLA KWA MSIBA WA MAMA YAKE.
Kaimu Katibu wa Idara ya Vyuo na Vyuo vikuu ndugu...
Mheshiwa Magufuli nimekuelewa! "Shule za msingi na sekondari, si shule za wazazi"
Hii itasaidia kuwafanya watoto wetu wa kike kutafakari kabla ya kujiingiza na kujihusisha na mahusiano...
Inaweza kuwa mshangao kwa wengi kuwa sasa nataka kufundisha uchawi live.. La hasha! Hili sio lengo langu kuu. Lengo langu hapa ni;
1. Kuondoa yale mawazo potofu na mgando kuwa unapozungumzia...
Habari ya majukumu wakuu.
Natumai kila mtu anaendelea vyema na majukumu yake na poleni kwa wale wote ambao afya zao zina mushkeri kwa namna mbali mbali Mungu awanyooshee mkono mkarudie hali zenu...
Watoto wawili wa kiume mmoja na wa kike mmoja wakazi wa mtaa wa Kigoto, wilayani Ilemela Jijini Mwanza wamefariki dunia na wengine wawili kunusurika kifo katika ajali ya moto iliyosababishwa na...
Umewahi kusoma kitabu hadi nyele zikasisimka ukaona maisha yamebadilika baada ya muda mfupi au siku kadhaa ukajikuta uko vilevile...
Jiulize ni kwanini...
Umewahi kusoma vitabu vya kanuni flani...
Ubalozi wa nyumba kumi una umuhimu mkubwa sana ukitumiwa vizuri. Balozi anagusa wananchi kuliko rais wa nchi.
Tatizo ni kutotambuliwa umuhimu wa hii kazi. Mabalozi wengi wanaishia kwenye kuamua...
Tunakaribia kumaliza mwezi mtukufu wa Ramadhwaan na mambo matatu yafuatayo ya muhimu yanayotukabili yanapasa kuzingatiwa ili tukamilishe Swawm zetu ipasavyo na tupate fadhila zake.
1...
Dhulma dhulma ndio imekuwa kisingizio cha hawa wapuuz kuua watu wasiokuwa na hatia.
Kama kudhulumiwa nikulipiza kisasi watu tungeshafanya ya ajabu baada ya kifo cha mwangosi lakini tuna...
Naombaeni msaada wajuzi wa mambo ya Insurance
Nilinunua gari aina ya VOLTs mwaka 2015, na ikapata bima ya kwanza August 2015, yenyewe ikiwa imetengenezwa mwaka 2003, na gharama yake yote ambayo...
Naombeni msaada wenu, ni namna gani naweza kupata kitambulisho cha utaifa kwa sasa na mda gani inaweza kuchukua hadi kupata kitambulisho baada ya kujaza fomu na kupiga picha.
Ninashida msaada...
MKUU wa Wilaya ya Shinyanga, Josephine Matiro amelazimika kula chakula na kunywa maji yaliyotoka kwenye mradi wa maji wa kisima kirefu uliokataliwa na wananchi kwa hofu kuwa wakinywa maji hayo...
Kwenye kikao cha bunge kinachoendelea spika amesema wabunge wa UKAWA ambao hawakuunga mkono bajeti ya serikali isipelekwe miradi ya maendeleo katika majimbo yao. Hali hiyo imezua mshangao ndani na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.